Recent content by Kasungura

  1. K

    Kibaso njoo Rorya uchukue jimbo

    So kama ma great thinker wa Rorya ndo aina ya Gor wanaotaka kuleta maendeleo huu wanaonyesha ubaguzi upo ndani ya damu. believe me hamtokuja mpate maendeleo. Rorya ni ya makabila mengi siyo Luo pekee yenu. plz tafuteni mtu makini na mwadilifu na mwenye misimamo then mkae pamoja mjadili wapi...
  2. K

    Kibaso njoo Rorya uchukue jimbo

    Hakuna shida kama mtampata mtu mwadilifu coz rorya kuna fursa kibao but vijana vichwani wanawaza tu kucheza mziki.
  3. K

    Kibaso njoo Rorya uchukue jimbo

    Njaa ya tumbo na akili sikuzote huwa ni Shiiiiida. yeboyebo za lakairo na 1000 za chai mtaziachaje???
  4. K

    Rorya michango imezidi!

    Rorya kipaumbele ni starehe plus uvivu wa kufikiri kuliko kujishughulusha kimaendeleo.
  5. K

    Rorya michango imezidi!

    Ndiyo maana Rorya siasa zisizo na kichwa wala miguu haziishi. badala ya kutumia pesa za Lakairo kuhandaa miundombinu ya miradi ya kudumu kwa kumpa ushauri nyie mnaomba 2000 za kunywea chai kwenye vitongoji vilivyotamalaki kwa umasikni. Na mnajisahau kuwa Rorya kuna mchanganyiko wa makabila kibao.
  6. K

    Rorya michango imezidi!

    Ni kweli Luo wanapatikana kenya, uganda, tz sudan na nk. but hebu pubguzeni ukabila kwa msingi wa kubaguana. Najua Luo wanathamini sana mila na desturi zao but punguzeni kubaguana hata wenyewe kwa wenyewe.
  7. K

    Ni aibu kulazimisha kuchangisha fedha toka kwa wananchi kwa ajili ya ujenzi wa maabara

    Faiza ebu jaribu kuwa neutral kidogo. kuchangia maendeleo siyo jambo baya hata kidgo. Jaribu kuelewa wakati mwingine, siyo wote wanaishi mjini wengine wanaishi vijijini, michango ya harusi huwa ni ndoto kwao. Serekali inataka watu wachangie ujenzi wa maabara wakati serekali yenyewe imeshindwa...
  8. K

    Zijue sababu za Benjamin Mkapa kumuunga mkono Lowassa

    Duuu, kazi tunayo coz tanzania yetu maajabu hayaishi. propaganda imechukua nafasi kwenye maisha yetu kwa % kubwa, ndiyo maana hata zinapoletwa hija za maana huwa atunaogopa. matukio yanatokea makubwa na yanayodidimiza uchumi wetu. Hawa atu leo tunaoaminishwa kuwa ni watu safi huwa wanakuwa wapi...
  9. K

    Zijue sababu za Benjamin Mkapa kumuunga mkono Lowassa

    Jamani Okelo twashukuru unatuletea mambo mengi sana ya Lowasa. Plz ebu tujuze ya kweli kabisa kuhusu lowasa na richmond. Ili nasi tuangalie pande zote za shilingi. inawezekana ilikuwa propaganda au kweli.
  10. K

    Ajali: Treni yaangusha Mabehewa maeneo ya Vingunguti

    jamani si nilisikia kuwa wanakarabati reli karibia wanafika tabora au!!!!!!!!!!
  11. K

    Waarabu wabaya sana, CUF na Wazenji wanataka kurudisha waarabu

    Mkuu Gor, wahindi mliwafanya nini huko Rorya? ina maana rorya hakuna awawkezaji toka Asia
  12. K

    Jaji Warioba: Siioni Katiba Mpya

    Huu ni mnyukano sijui itatufikisha wapi. huko tuendako nchi yetu itazidi kusambaratika. We need maridhiano zaidi kuliko ubabe na mwisho wote tutapoteza. Ooooh my Tanzania amani yetu ipo ICU na madaktari wakuweza kukuhudumia wamegoma huku wakilumbana na kuonyeshana ufahari wa nani atakula paja...
  13. K

    Natafuta Mwanaume mwenye VVU

    Hi, Dine hongera sana kwa ujasiri wako. I know wengine watakubeza, na wengine watakusupport. I understand Dr Riwa anaongea kotokea angle ipi ndo maana wengi wetu hatumwelewi vizuri, but alitaka ujenge kujiamini zaidi na waweza kuolewa hata na mtu asiye na vvu ili mradi tu awe na dhamira ya...
  14. K

    Biashara yadhahabu

    1-Soko la dhahbu siyo tatizo, but tatizo ni bei ukizingatia kwasasa bei ilivyo chini. 2- Bei hutofautiana, na inategemea unamuuzia nani na wapi, Taita/Broker/Wahindi/Sonara ama unasafirisha nje. 3- Vile vile bei hutegemea kiwango cha dhahabu kwa asilimia.
Back
Top Bottom