Recent content by kasungamile

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea mmmh! (Only DIT, UDSM, IAA and Mzumbe graduates)

    Nina uhakika huyu jamaa(norkim)ni completely layman.kwa mtu mwenye uelewa mpana na aliyesoma vizuri hawezi ongea ushudu na kudharau other universities.Binafsi nimemaliza Udsm miaka 4 iliyopita,lakini nina friends ambao wamemaliza vyuo vya binafsi,they're very competent na wanafanya kazi taasisi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea mmmh! (Only DIT, UDSM, IAA and Mzumbe graduates)

    Aisee!!!,ndugu,VETA unaichuliaje?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

    Mimi nafikiri sasa tunakoelekea ktk hii nchi yetu ni kuwa watu wanajaribu kuongea na kuwatete watu(watuhumiwa) kulingana na uhusiano wao(ukabila/kutoka mkoa mmoja au urafiki wa muda mrefu).Huwa namuheshimu na kumkubali sana mzee wangu Warioba.Mzee huyu ana IQ kubwa na uwelewa mpana sana. Ila...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msimamizi na Karani wa Uandikishaji Wapiga kura Serikali za Mitaa

    hawalalamiki,ila wanaelezea kiwango cha hela walicholipwa ni tofauti na walivyohaidiwa,na wengine hawajalipwa mpaka zoezi la uandikishaji limeisha.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ajira ya uhakika hii hapa

    kama nanunua viwanja ambacho havina hati,then akaja mtu mwingine (third person) akasema ni viwanja vyake na anavimiliki kihalali.swali, ni je nitakuwa na vidhibitisho gani vitakavyo nionyesha kuwa mimi ni mmliki halali?
Back
Top Bottom