Ajira ya uhakika hii hapa

Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,793
1,195
Lete matajiri wa kununua plot,shamba,viwanja na ulipe vizuri.viwanja vina ukubwa wa ft 50 kwa ft 40 bei ni 2,500,000/=.Utalipwa laki 2 kwa mauzo ya eneo tajwa.

Hivyo kadri tajiri atakavyo double viwanja ndivyo malipo yako yatakavyo double.Viwanja vipo wilaya ya ilala msongola na temeke kisewe na havina hati ni eneo la shamba la mwenyeji ambalo ameamua kukata viwanja na kuuza.Vipo mita 100 tu toka barabarani,

ni eneo la kichanga hivyo maji na mchanga vipo.Tajiri ana ruhusa ya kudouble viwanja tani yake.Pia mashamba yapo wilaya ya mukuranga.

Nunua plot kwa bei nafuu sasa -0717757021
 

kasungamile

Member
Nov 30, 2014
5
0
kama nanunua viwanja ambacho havina hati,then akaja mtu mwingine (third person) akasema ni viwanja vyake na anavimiliki kihalali.swali, ni je nitakuwa na vidhibitisho gani vitakavyo nionyesha kuwa mimi ni mmliki halali?
 

Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,793
1,195
kama nanunua viwanja ambacho havina hati,then akaja mtu mwingine (third person) akasema ni viwanja vyake na anavimiliki kihalali.swali, ni je nitakuwa na vidhibitisho gani vitakavyo nionyesha kuwa mimi ni mmliki halali?
ndugu yangu hakuna kitu kama hicho maana ushahidi ni wa serikali ya mtaa pia kiwanja unanunua mchana kweupeeee......njoo ununue kiwanja ujenge ni haki yako ya kiraia kumiliki ardhi..wahi sasa......
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom