Habari wasomi wenzangu....Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne, amepata division 3 ya 23 na matokeo yake ni kama ifuatavyo:-
English - C
Geography - C
Kiswahili - C
History - C
Civics - C
Biology - C
Math - F
Sasa naomba ushauri, nimpeleke ADVANCE au aende CHUO?
Wamepiga 300000/= kwa siku kwny siku 70 kwenye Bunge la Katiba, wanapiga tena hela hiyo hiyo kwenye ili Bunge la Bajeti, wakimaliza hapo wanakuja kupiga laki tatu kwa siku kwa siku 60 kwenye Bunge tena la katiba, kweli hakuna usawa hapa......wanachuo tuna hali mbaya hatujapewa hela yetu hadi leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.