Recent content by kasori

  1. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yazifungia rangi za midomo "Lipstick" za Wema Sepetu

    Km ni star aende nje yanchi Sasa tuone uster wake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yazifungia rangi za midomo "Lipstick" za Wema Sepetu

    Serikari safi kabisa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya yaiva, JPM atema kibao

    Ngoja nione nyamagana,Magu,Busega,MISUNGWI, nk yangu macho
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Nyalandu ashindwa kuhutubia mkutano wa CHADEMA baada ya kukosa ndege

    Ngosha ni noumaa!! Mpaka danguro la Mh wa KUB halipo na madeni juuu, chadema mmebanwa kisawasawa yani uchaguzi ujao sioni mbunge wa chadema wakurudi bungeni labda wa cuf
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Nyalandu ashindwa kuhutubia mkutano wa CHADEMA baada ya kukosa ndege

    Walipewa uwaziri wa fedha na TRA mizani na mabenki yalijaa wachagaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Nyalandu ashindwa kuhutubia mkutano wa CHADEMA baada ya kukosa ndege

    Chama cha chadema kilianzishwa na Mzee mtei, ni chama cha kikanda, wengi washashindwa akina zitio na Dr slaae. Hicho nichama cha nyumbani ngoja tuone akitoka mbowee atapewa nanii
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Agnes Marwa(CCM) amtaka John Heche kuacha kuzungumzia maswala ya nje ya Mkoa wake

    Nimeamini ukweli unauma
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi

    Huu ni mchezo umechezwa naamini hilo kwasababu hizi, 1. Huyu mama wa yono kasema mda wakulipa hyo asilimia ya awali mpaka jua lizame!! Km ndo hivyo je wamemtiaje rock-up kabla mda wakisheria kuisha? Jibu nikuwa wamemwandaria nafasi yakushinda kesi, 2.km alianza kushinda Nyumba ya kwanza mbona...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rwanda kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya Madini

    Ushamba wa kuabudu wazungu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mama Anna Tibaijuka atangaza kutogombea tena ubunge, asema nchi ilikuwa inasubiri kiongozi na sio Rais

    Nishasema! Wataisha tuu Dereva mwenye roli haongei na MTU wala kusikia kelele za eti kuchimba Dawa wenye kibofu cha matatizo ndo haoooo!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo CHADEMA wamemtoa Lowasa katika list ya Mafisadi wakubwa Tanzania waliyotutangazia?

    Leo linataka CIA ha ha ha dunia bwanaa!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Mbwa kasoro mkia, uhusiano wa kijingaaah, hatutaki Tz tunajua wanachuki la bomba la mafuta
  13. K

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba: CHADEMA ndumilakuwili

    Mwigamba umeongea vitu tulivyoviona na kuvisikia, lkn bado tunazidi kuviona mungu akutunze hadi 2020 uje umwange mboga maana ugari tayari ushaubutua
Back
Top Bottom