Serikali yazifungia rangi za midomo "Lipstick" za Wema Sepetu

Hata zao la kahawa waliliua hivi kwa hizi Siasa za kukomoana mwisho ndo chama changu kinazidisha ukombozi usiokuwa na lazima kwa mazingira kama haya yenye chuki. Je Kilimanjaro kwa Siasa za kuacha watu ktk umaskini chama changu kina Majimbo mangapi.
Chuki huzaa kiburi na kiburi huzaa maamuzi magumu ambayo yamesababisha sisi kukosa hata Jimbo moja kuwa ktk mikono ya chama changu.
Tuache chuki tuijenge nchi kwa Ilani inayotekelezeka na hoja zenye mashiko kwa Watanzania sio kuwagawa kwa matabaka ambayo tayari yameshamea kwao.
 
Roho mbaya sana.alafu kitu nimenotice sijawah msikia rais anazungumzia kwa dhati namna ya kuwaondolea umaskin wananchi.inaonekana yeye anapenda maskin wawe wengi.ili apate kuwa dictate vizuri.kama tunavyojua MTU asieshiba hawezi kufikiri sawa sawa.
 
Wabunge wanawake na mawaziri wengi wanatumia lipstic za wema ;
Mademu wao watakuwa kama Akina Hamorapa
 
Like Rwigara, like Sepetu. Mixing politics with business is dangerous
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom