wakati wa vuguvugu la kudai uhuru wa Tanganyika miaka hiyo mwalimu nyerere alizunguka Nchi nzima akihimiza ushirikiano , kilimo , usawa na ustawi wa jamii hasa baada ya uhuru , aliweka matamanio mengi sana kuwa pindi tukipata tu uhuru kila kitu kitaenda kama walivyopanga na watu wataishoi...