Recent content by Kashaija79

  1. K

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Huyu kilaza mkuu kazidi wacha aende akumbane na joto ya jiwe. Hii misafari yake ya mara kwa mara ambayo haina tija hata kidogo kwa nchi yetu, yeye anaona poa tu. Watanzania tuzinduke wakati ndo huu.
  2. K

    Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

    Ghasia na genge lake ndo wezi. mbona kuna wajumbe wengi wa ccm ambao ni watumishi wa serikali na wanaudhulia vikao vya chama kila kukicha. huu msukumo wa Prof si wake binafsi ni kwa masilahali yetu sote. tuangalie mbele, hii itakuja kwako kama utendaji kazi wa kibaguzi hautokemewa haraka.
  3. K

    Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

    je wakurugenzi wa Halamshauri za wilaya ni waajiriwa wa serikali?
  4. K

    Prof.Benno Ndullu kafanya maajabu BOT!!

    Hapo umenena Fundi Mchundo, kuna kundi kubwa pale BoT ambalo linatakiwa kutimuliwa, BoT siyo kijiwe cha kundi fulani, ni jicho la kila mtanzania, kama hajaweza dhibiti watu feki wanaopiga siasa tutakutana na EPA zingine.
  5. K

    Wabunge CCM kuunda chama?

    kuundwa kwa chama kingine si suluhisho la matatizo ya watanzania. kuna tatizo sugu ambalo sisi kama watanzania linatuzunguka ambalo ni haki zetu za kimsingi, wengi watapiga kelele lakini ifikapo mda wa kwenda kupiga kura wanaingia mitini. Tuache bla bla jamani.
  6. K

    Mbunge adai kufanyiwa vitendo vya kishirikina jimboni

    Kuna watu wanafanya kazi kwa kuangalia upepo na Shelukindo ni namba moja. Anashindwa majukumu ya mwenyekiti wa kamati anakuja kupiga debe mtaani ili wananchi wamwone yeye jasiri kumbe zero tu. wacha angolowe ata kama January anatumiwa na mafisadi.
Back
Top Bottom