Recent content by kashaga

  1. kashaga

    JamiiForums Tanzania 'Aliyemteka' Ulimboka ahukumiwa kwenda Jela mwezi mmoja au kulipa TSh. 1,000/=

    Hii NCHI ina mambo mengi ya ajabu na kusikitisha sana yumkini kodi za watanzania tunaokaa vijijini tusijue hata tutaamkaje siku ifuatayo kutokana na lundo la kodi kila kukichao. Muhusika aliyeteswa Mabwepande kalianika jina la muhusika walakini asikamatwe waendelee na huyu asiye na hatia huku...
  2. kashaga

    JamiiForums Tanzania Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

    Poleni sana ndugu zetu waKenya na wote walioguswa na kutokea kwa hili tukio. Kwa hakika Mungu atalifunua zaidi.
  3. kashaga

    JamiiForums Tanzania Hongera kaka Eddo Kumwembe

    I like it Good!
  4. kashaga

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Dream Interpretation | Global Oneness Pitia web hii Dream Interpretation | Global Oneness
  5. kashaga

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Mmoja wa ndugu kanijuza hii habari ila si kwa mapana zaidi. Ila poleni sana watanzania wote walioguswa na tukio hili.
  6. kashaga

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wachimba moram 12 wafukiwa na kifusi Moshono Arusha

    Mwenyezi Mungu aliye mwingi wa rehema azidi kutuepusha na majanga haya. Poleni sana watu wa Arusha na WaTanzania wote waliofikwa na hilo janga. R.I.P
  7. kashaga

    JamiiForums Tanzania Makahaba wa Kinyarwanda wawakirimia Wabunge na WanaCCM Dodoma - HabariLeo

    Hii habari imepewa umuhimu kwa kuwa ni aibu kwa taifa juu ya hawa viongozi wetu. Itafikia pahala picha zao tutaziweka humu ndani ili wana JF waone baadhi ya watunga sera wanavyotia aibu.
  8. kashaga

    JamiiForums Tanzania Makahaba wa Kinyarwanda wawakirimia Wabunge na WanaCCM Dodoma - HabariLeo

    :nono: :hurt: Hivi hatuna sera zinazowabana hawa waheshimiwa kimaadili juu ya hii mambo? Moja ya speech ya Mwl J.K Nyerere aliwahi kutujuza kuwa kuwa waziri mdogo katika nchi ya Uingereza aliwajibika kujiuzulu ili kulinda heshima juu ya hii mambo. Kwa nini kwetu tusiwe sheria za kuwabana...
  9. kashaga

    JamiiForums Tanzania Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    So sad Mungu aepushe mauti kwa wale waliofikwa na janga hili.
  10. kashaga

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    Never fear shadows. They simply mean that there's a light somewhere nearby. R.i.p csta
  11. kashaga

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa gani tena huu? Msaada tafadhali

    Hello! Marafiki naombeni kusaidiwa kufahamu nini nicheck zaidi. Nilikwenda hospitali kucheck afya baada ya kuhisi hali ya muwasho kwenye njia yangu ya mkojo na asubuhi nilipokuwa nikiamka niliona hali ya ute kama manii vile ila ute huo haukuwa na harufu. Hii ilikuwa mara ya kwanza kwa tukio ka...
Back
Top Bottom