Kumekuwepo na mijadala na majibizano mitandaoni kwamba kipi kianze kupatikana kati ya Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi.
Chama cha Chadema wao wanataka katiba mpya wakiamini ndio mwarobani wa changamito zinazoikabili nchi yetu.
ACT Wazalendo wao wanataka ianze tume huru ya uchaguzi kwanza...
Mnakumbuja Siku Polepole na Bashiru wamewaita Kinana,Membe na Makamba?
Dunia inaenda kasi sana,miezi minne nyuma polepole alikuwa anahoji wenzake na kuwaonya kwa kejeli leo ni zamu yake kulipa hapahapa Duniani.
Magufuli unaemsifia huenda wewe ulikuwa mnufaika wa udikteta wake.
Alibambikia watu kesi,utawala wake ulifunga minyororo Bunge,Magufuli alitukosea sana Watanzania
Nimemsikiliza yule mwanachi wa Mkoa wa Mara aliempigia simu Mh. DC kwa lengo la kumkumbusha unyama wake.
Maneno ya mwananchi yule ndiyo kiu yetu wengi kuona sura mpya kwenye orodha ya wakuu wa Wilaya.
Wajinga wote wondoshwe, tuletewe watu smart kama Mama
Msimdanganye Mama kwa kuchomeka...
Mikoa ya kugawanywa kwa sasa ni Tabora,na Morogoro, Geita imekuwa mkoa juzi,haiwezi yena kugawanywa tena.
Ukabila na upendeleo kwa sasa hauna nafasi tena
Wewe ni muumini wa Ushamba na utekaji,kwa sasa enzi zenu zimekwisha,njia sita tutajenga tena tukiwa na furaha,sio nyie mlionunua ndege huku watu wanavumilia kuitwa Watanzania.
Washamba mliogawana vyeo kikabila sasa mwisho wenu umefika,
Na kwa taarifa yako Mama tutamuongezea muda ili aijenge...
Hao washamba achana nao,ndio walioharibu nchi mpaka tukawa tunadharaulika,Rais Samia anachofanya sasa ndio kazi ya Mkuu wa nchi,Hao walaiozoea kubebwa waache wapige mayowe,sisi tunasonga mbele na kwataarifa yao.
Vyombo vya habati vimefunguliwa
Bunge limefunguliwa minyororo
Na Account...
Wana bodi.
Kama wale watafiti wakija kuwahoji wananchi kuhusu furaha yao kwa sasa,hakika hatutakuwa wa mwisho tena,tutakuwa miongoni mwa nchi tano zenye furaha Duniani.
Sasa kwa maoni yangu,Huu muhula Rais Samia kaudakia katikati,lakini ni.moja ya Viongozi bora kuwahi kutokea.
Hapendi...
Katika hali ya kushangaza Mkuu wa wilaya ya Tabora Mh.Komanya Kitwala ,aliwaita watendaji wa kata za Manispaa ya Tabora ofisini kwake,baada ya watendaji kufika ili kusikiliza walichoitiwa.
Jambo la kushangaza DC kitwala aliwaamuru watendaji kupiga magoti sakafuni.
Watendaji wawili walipiga...
Kweli kabisa watu hawana huruma,wanamuharibia mwenzao hata kama anachangisha si kwa nia njema? Ukute na yeye anafanya hivo kutetea posho yake isiguswe,sasa mzee akisikia kwamba wilayani kwake kuna michango itakuwaje?
Kuna clip nimesikia zinatbea kwwnye magurup ya chama wapambe wa mkuu wa wilaya wanazodoana na wanaompinga
Tatizo la tabora ni majungu,lkn tatizo la DC ni ubabe usiokuwa na mipaka.hata katibu na mwenyekiti wa chama hawaelewani
Gwajima yupi? Huyu mbaguzi wa kikabila na aliewaahidi waislaam kugeuza Miskiti kuwa sunday school?
Hivi mnapoteza muda kujadili mtu mwenye itikadi za kibaguzi?
Leo Lissu yupo Tabora Mjini, wakati huohuo kuna mtufuano unaendelea kati ya wana CCM wenyewe kwa wenyewe.
Upande mmoja ni CCM uongozi ambao umejiratibu kuanzia ngazi ya tawi hadi Mkoa, upande wa Pili ni Mh.Mkuu wa. Wilaya na Mgombea wake wa Ubunge Bwa. Mwakasaka ambaye wenye CCM yao wanadai DC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.