Recent content by kasalanga

  1. K

    JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Sisi watanzania tunaotaka hoja ZENYE MASHIKO tulijunga humu kwa ajili ya kufuatilia,kujifunza na kushiriki katika za kujenga nchi yetu kakini tunaona sasa Jamii forum Siasa inakuwa jukwaa la mashabiki wa Ukawa na CCM , ,WANATUKANANA ,HAKUNA HOJA ILA USHABIKI . WAMILIKI DO SOMETHING TO BRING BACK...
  2. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA wana jambo la kujifunza kutoka CCM

    Raisi na viongozi wanaotafutwa wawe kutoka CCM au UKAWA bado watakuwa viongozi wetu wote watanzania. Lakini CCM alikuwepo Ben Mkapa, akapiga miaka kumi, akafuata ,kikwete naye anaondoka lakini kwa miaka hiyo yote wapinzani wanaogombea nafasi za juu Majina ni yale yale.kama ndani ya vyama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Lowassa waingia Tabora, Wananchi wauzuia ili kusalimiana naye

    Nyota yake hiyo kweli uongozi huwekwa na Mungu. yaacheni mafuriko yapite msije mkasombwa, CD ya ufisadi inascratch au inasombwa na mafuriko
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Bajeti hii, Sasa naamini Tanzania ni kifaranga kwa Kenya!

    Tanzania kwanza
  5. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    Munngu inasue jamii forum siasa. Mbona umekuwa ukumbi wa matusi badala ya hoja?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali wabunge wanaoshabikia vyama vyao bungeni badala ya utaifa wazomewe.

    AMERIKA NI KUBWA KULIKO CHAMA CHANGU UCHAGUZI UMEKWISHA TUMUUNGE MKONO OBAMA.Mitty Romney akiiwambia wafuasi wake. HapaJF wachangiaji wengi ni kama wapo kwenye kampeni za kudumu. kazi yao ni kuibua scandals. Kuzomea kunatoa ufimbuzi upi. Tuache kulalamika tuibue hoja zaenye ufumbuzi wa matatizo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mbunge wa Morogoro mjini!

    Great minds discusses issues not people
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nape athibitisha yeye ni chaguo la vijana

    Nape chaguao la vijana wa ccm? alikuwa anagombea nafasi gani?
  9. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA predicted a dictatorship regime if elected 2015. Know Why?

    There is no party that is SUPER above the country nd its people/ such thinking neglet the rights of none CDM .and it worries if such party will be toralent to the opposing views if put power. It is a foreseen dictatorial regime/ IT TAKES GOOD PEOPLE FROM, CCM,CHADEMA ,CUF,ETC AND INDIVIDUALS TO...
  10. K

    JamiiForums Tanzania 'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    Hivi! ili nionekane CDM lazima niwe mbishi wa kukubali kila kitu wanachosema viongozi wa CDM?' ukiwa na fikra mbadala basi wewe CCM tena unatukanwa kuwa msaliti? tupo zaidi ya milioni 40 . hatuwezi wote kufikiri kama mnanvyotaka.mnaojiita CDM acheni matusi jadilini hoja.Nchi hii ni yetu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Fikra tunazozihitaji kundeleza nchi hii ni kama hizo. dini zote ni watoto wa ibrahimu, MUNGU MMOJA nini tena?
Back
Top Bottom