Recent content by kasahunga

  1. K

    Tetesi: GE2025 Kwanini shule za sekondari za Halmashauri ya Mji wa Bunda zinawaambia Wanafunzi na Walimu kwenda kesho standi ya zamani kwenye kampeni za CCM?

    Hii ni hatari sana kama CCM wanalazimisha watumishi wa kada ya ualimu na wanafunzi kwenda kwenye kampeni za mgombea wao hapo kesho.
  2. K

    GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

    sifanyi huo ujinga
  3. K

    GE2025 VIDEO: Kimenuka Segerea, Ngumi zimepigwa, Wana-CCM wadaiwa kutaka kutoana Roho

    Njia ya uhakika ya kulinda kura yako ni kubaki nayo mwenyewe, ukiitumbukiza kwenye sanduku la kura tu umeibiwa. No Reforms No Election.
  4. K

    GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

    Askofu Bagonza amekwisha kusama "Njia ya uhakika ya kulinda kura yako ni kubaki nayo mwenyewe, ukiitumbukiza kwenye sanduku la kura tu umeibiwa. No Reforms No Election"
  5. K

    Nilikuwa najiuliza sababu ya vita kati ya Ukraine na Russia ni ipi? Majibu generated by Artificial Intelligence (AI) ni haya

    haya ndo majibu kutoka AI Swali lako linaonyesha kutaka kujua faida wanayoweza kupata Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikiwa kitapata ushindi kwa njia isiyo ya halali, yaani kwa kuiba matokeo ya uchaguzi. Hii ni mada nyeti na pana, na inahitaji kuzingatia mifumo ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii...
  6. K

    Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    inawezekana ww ni mojawapo wa walimu mliopelekwa msingi. Naona bado unakihitaji cheo cha mkuu wa shule.
  7. K

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    tatu ndo suluhu
  8. K

    Tundu Lissu: Walimu wasisimamie uchaguzi

    Hilo ni kweli kabisa kwa sababu walimu ndo walioharibu uchaguzi uliopita kwa kuwasaidia maccm kuiba kura.
  9. K

    Tatizo la kuchangisha walimu mchango wa mwenge

    Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha. Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo. Hii...
  10. K

    Mbunge Luhaga Mpina ndoto yako ya kuwa mbunge maarufu Tanzania imetimia

    Huyu mtu alituchomea nyavu zetu na alituacha masikini kabisa sitaki kumsikia kabisa.
Back
Top Bottom