Recent content by Karucee

  1. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chidy nikufate wapi nikupe K. nikamwambia Kipapiro chako ntakifanyia nini mimi.

    Kwa hiyo ukasusa? Chidy bana.
  2. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heal, So Your Lineage Does Not Need To Heal From Having You as a Parent.

    Tunatembea na maumivu.... And unfortunately we don't realize it until it's rather late and we are projecting on the very people we are meant to protect. The journey to healing trauma or childhood wounds is long and ugly... Just as much as it is painful but if it means no one else will undergo...
  3. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    Hahaa. Dah. Sina taarifa ila mie Nina mchumba ngoja nimuite akubutue That Gentleman njoo babe ake
  4. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

    It's not worth it kwa kweli. Why wa ndani? I think this would hurt worse.
  5. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

    Mi ningekuwa mwanaume nahisi utelezi ndo ungeniingiza motoni. Ningewaweka sana. Sasa nifatishe na wenzangu humu ule huo mzigo. Utajuta sana na itakuwa point of no return.
  6. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    And our families boo. Cheating is never the solution.
  7. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    Haya jamani list ya nini tena mnapeana huku mnani quote😁😁🤣🤣
  8. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    Salama kabisa legendary. Nipo si unajua tena sometimes mishe zinabana sana? Niko poa, sijui wewe.
  9. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    Yaani we cheat with the most weird characters. So pathetic. Halafu once you catch feelings ndo unakamatwa. Yes. Very addictive halafu kama una mashosti unawaona wajinga if they are not cheating. That is why you need to know your woman's circle.
  10. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    Sisi wanawake sio victims. We do not cheat by accident. And we don't stop just because we got caught. Once we cross that line, there is no stopping. We get seasoned with each session. And it gets more exciting. Tf.
  11. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    Hako kakijana hata hakana love. Kanapeleka moto tu si kamepata Ganda la ndizi??? Mume mtu ana mapenzi na mke wake azawais angeshamuacha muda sana. Coward labda kwa Mdogo mtu, Mama Mtu na Mchuchuake. Alichapa akasepa.
  12. Karucee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    When you seek revenge, dig two graves. I kinda like what you did but I'd rather you'd just walked away remarried and started afresh. In this case you have 2 more mouths to feed to take care of. And no way you are going to deny your kids right? Damu yako hiyo Mzee. So sijui kama kuna...
  13. Karucee

    JamiiForums Tanzania Njia zipi zinatumika kutest ubora wa Condoms

    Kwa kweli ni solution ya matatizo mengi sana kwenye jamii.
Back
Top Bottom