Nakumbuka nimesoma historia kwamba babu zetu walipewa nguo, vioo, shanga na pombe wakatoa pembe za ndovu, dhahabu na almasi, leo hii tunapewa neti tunatoa dhahabu ivi kweli serikali yetu kupitia viwanda vyake imeshindwa kutengeneza neti na kuwapa wananchi walau kwa bei nafuu hadi tuombe kwa...