Recent content by Karl Marxist

  1. K

    JamiiForums Tanzania List of My Favorite Authors Playwrights and Poets

    CHIMAMANDA NGOZI ADICHIE
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    1. Ni kwa jinsi gani ufaransa ilihusika kwenye mauaji ya halaiki ya Rwanda ( Rwanda Genocide) ya mwaka 1994 ? 2. Ni mikataba mingapi imesainiwa mpaka kuhalarisha Israel kuwa ni nchi huru? 3. Zipi ni sababu kuu za mgogoro wa mashariki ya kati?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    1. Mapinduzi ya Zanzibar yaliongozwa na John Okello. Avoid Karume hakuhusika moja kwa moja kwenye mapinduzi isipokuwa mwalimu Nyerere alimweka madarakani baada ya zoezi la kumpindua sultani likiwa limekamilika. John Okello (Jasusi kutoka Uganda aliyetumiwa na J.K. Nyerere kukamilisha adhma ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto tunazokutana nazo tunaotongoza wanawake mitandaoni, jamani wanawake hawajiamini kabisa.

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Aliiona picha yako ya dp hii?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuon nao n janga jingine!

    75 % wanajiuza mitandaoni. Kupitia App za malaya.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi wa Rais kutubu kwa yale yote yaliotokea kuanzia mwaka 2015 mpaka sasa.

    Hata ikikuumiza, ukweli unabaki palepale #AKATUBU
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Letters from a Nairobi Hospital Bed

    Imepenya hiyo,,,, washaipata mkuu... Saluti nyingi kwako... Mungu wa majesi atakuponya.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Waislamu tuko upande wa Rais! Ya Kakobe mpelekeeni Kaisari

    Hahaaaaaaaa,,,, sijui kama waislamu wenye matumizi sahihi ya akili wamekuelewa katka hili.!!?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tupige vita viongozi wa dini kuwa maajenti wa wanasiasa

    Logical question.... Mtoa mada nahisi ameandika akiwa amevaa jezi ya younger
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tupige vita viongozi wa dini kuwa maajenti wa wanasiasa

    hivi WEWE UNAISHI NCHI GANI?
Back
Top Bottom