Recent content by Karimulutego

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hotel ya Kipekee Kisiwani Pemba Yaongelewa CNN

    kwa wenye pesa raha tu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    huyo amewahi kuwa kiongozi katika nyadhifa mbali mbali anafanya vitendo hivyo ,halafu serikali inamlinda mtu kama huyo, huyo amejulikana wazi je, wale wasiojulikana wanafichiana maovu yao huko huko.kwa tanzania hii kiongozi bora alikuwa mwl.julius k.nyerere tu.tumuombe mungu atutolee viongozi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya polisi na picha 7 za mganga wa kienyeji aliyekamatwa na kiganja cha binadamu kikivuja dam

    Nawaomba jeshi la polisi wafanye kazi yao kwa kuhakikisha kichwa, miguu, mikono na kiwiliwili vinapatikana kwa sababu usalama wa raia umo mikononi mwenu. Ili vitendo hivi visiendelee sheria ifuate mkondo wake na watuhumiwa wafikishwe mahakamani na mjue kabisa raisi na waziri mkuu wa nchi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mganga akutwa na kiganja cha mtu akimuuzia tajiri kwa sh milioni 100

    Dunia ipo ukingoni, mwisho wa dunia unakaribia.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Njombe mjini amefariki dunia ghafla

    apumuzike kwa amani.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Njombe mjini amefariki dunia ghafla

    Taarifa ni nzuri.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Njombe mjini amefariki dunia ghafla

    apumuzike kwa amani.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

    Uamuzi huo ni mzuri kabisa naunga mkono.udhibiti wa taarifa zisizo na msingi lazima uwepo, hiyo itawarekebisha wengi wawe wanatoa taarifa zenye mantiki na zenye maana.nawashukuru sana kwa kuligundua hilo, nawaomba mfanye utafiti na sehemu zingine ili muweke udhibiti kama huo.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chadema ni chama hatari sana kiogopeni kama ukoma.

    bila chama cha chadema ccm mngetuburuza mpaka tukome, chama cha upinzani kimeleta changamoto na ndiyo maana baadhi ya mambo mmeanza kujirekebisha. Chadema ni kiboko yenu mkizubaa 2015 kitachukua viti vingi zaidi vya ubunge.
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    wengi hatujui mawazo ya huyo mama tusubiri mwisho wake itakuwa nini!
Back
Top Bottom