Recent content by KARIBUTKY

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

    hivi kawawa na mandela roads zinakutana wapi vile?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Na yule shehe na video yake mbona hajakamatwa na kuhojiwa.....what about Mwigulu Nchemba na video alizo nazo...mbona asikamatwe na kuhojiwa....ili alisaidie jeshi a polisi au ndo hiyo ya Lwakatare
  3. K

    JamiiForums Tanzania Josephat Isango, Mhariri wa Habari Tanzania Daima akamatwa na Polisi

    mbona hawawakamati redio imani na mauchochezi yote wanayofanya kila siku na kwa mda mrefu....JK
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

    clouds FM na power breakfast yao to hell wana upo mdogo sana katika mambo njaa zinawasumbua sana ...sasa wajifunza kufikiri vizuri especially Gerad Hando
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    Kumbato la jana bado linamnyevua...tatizo la maji UBUNGO tangu lini likawa ni la MNYIKA badala ya CCM..Kashadata kigori wa watu..hajui kuongea hivyo anamzaririsha waziri wake wa MAJI....
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amjibu Lowassa tatizo la ajira nchini

    Kwani ilani yao haina suluhu ya tatizo la ajira,si atekeleze ilani au ndo kuishiwa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Shilingi bilioni 86 zaibwa Wizara ya Nishati/TANESCO

    n00b Mkuu umesahau zile dola millioni 850 za tenda ya poles,generators,transformers..hii ndo balaa..alafu jamaa hajasupply chochote..na hela kashazila
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shilingi bilioni 86 zaibwa Wizara ya Nishati/TANESCO

    what do you mean Mzee ....
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kibanda kuwa Managing Editor wa New Habari kuanzia Disemba 1, 2012

    kashanunuliwa huyo....nyendo zake zilionekana mapema sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Mchakato wa katiba mpya kuanza ndani ya miezi minne nikipewa madaraka

    mchakato sio kuwa na katiba mpya bana mbona unapotosha...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Safari ya ukombozi yawasili mkoani Tanga, Lushoto, Soni, Bumbuli,Ni kamanda Lema, Kileo na Magoma

    Itachukuliwa kama kawa when changes comes inakua kama mvua inakumba kila sehemu haijalishi ni ngome ya CCM au la M4C no excuse no apology mpaka ukombozi kamili mwaka 2015
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    huyu hana sifa yeyote ya kumfanya awe hata mkuu wa shule ya sekondari eti ndo kiongozi wa wizara..are we real serious...lawama zote kwa anayewateua...
  13. K

    JamiiForums Tanzania CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Na shule yake ya sekondari ndo kinara kwa kuvujisha mitihani,tena wakati yeye mwenyewe akiiendesha.tuna uahakika gani kama kwa sasa amejirekebisha...nilishawahi kusema huyu jamaa ni janga la taifa kwa mustakabali wa elimu yetu..check hiyo BA yake tangu 2002 mpaka 2008..hatariiii
  14. K

    JamiiForums Tanzania CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Na shule yake ya sekondari ndo kinara kwa kuvujisha mitihani,tena wakati yeye mwenyewe akiiendesha....nilishawahi kusema huyu jamaa ni janga la taifa kwa mustakabali wa elimu yetu..check hiyo BA yake tangu 2002 mpaka 2008..hatariiii
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba ambwaga Anne Kilango uenyekiti UWT

    Safu ya Lowasa inazidi kukamilika...
Back
Top Bottom