Recent content by Karibuni masijala

  1. K

    Waziri Magufuli kulikoni!!

    tusisahau waliompinga mabango mpaka sasa hatuelewi magizo ya kuyangoa yalitekelezeka au yamejaribishwa maisha yanaendelea na kupiga dili za mabango maana alidai fedha hizo haziko wazi.
  2. K

    Waziri Magufuli kulikoni!!

    Wanajamvi heshima kwenu. Ninaomba kuelimishwa kuhusu waziri mwenye dhamana ya miundo mbinu mhe. John Makufuli kwani anachoamua sicho kinachotendeka kama waziri mwenye dhamana kama kikitendeka hakichui round kinapingwa na watendaji wa ngazi za chini na hata boss wake. Hebu tujifunze kwa...
  3. K

    Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

    watu wanaota sana sijui kupigika mapema hii usiku wa manane bado selathini iwekuwa TGS E Kiruu
  4. K

    Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

    waziri mkuu wa serikali ya matusi au ipi acheni matani na tanzania
  5. K

    Mhe Zitto. HOJA YA FEDHA ZA USWISS BUNGENI DODOMA.

    siwajui naomba uwambie watanzania ni wakina nani
  6. K

    Mhe Zitto. HOJA YA FEDHA ZA USWISS BUNGENI DODOMA.

    Nimekuelewa mkuu kuonea huruma meno yangu. Eee Mungu epushia Mbali meno, kucha na afya uliyotujalia kudhuriwa kwa kuhoji kama haki yetu dhidi ya watawala na watawaliwa
  7. K

    Lowassa kukabidhiwa tuzo ya heshima iringa jumapili

    Acheni WIVU EL ANASTAHILI Kama unabisha jumapili nenda iringa au fuatilia Jf na vyombo vya habari
  8. K

    Kipima joto lugha za matusi kejeli je wanawakilisha maoni ya waliowachagua

    Wanajamvi Wageni waalikwa Mwanaharakati Marcus na Ndugu Rodrick wa haki za binadamu. Wameonyesha wasiwasi wao kwa wanaongoza bunge kwani wamefafanua kanuni ziko wazi na kwanini wabunge hawajadili hoja zilizowasilishwa wanajadili interest za chama. Wamerusha matusi ya Lusinde na wengine...
  9. K

    Mhe Zitto. HOJA YA FEDHA ZA USWISS BUNGENI DODOMA.

    Karibuni wote mtoa hoja, Wanachama wa vyama wanaopenda na wasiopenda mambo ya USWISS na mzee Mwanakijiji mtuongoze kujadili CD ya USWISS itaimba au itabuma na wote mawazo yako ya hoja ni ya muhimu kwa Tanzania tuitakayo usisite kutupia ili Bungeni kieleweke.
  10. K

    Mhe Zitto. HOJA YA FEDHA ZA USWISS BUNGENI DODOMA.

    Wanajamvi, heshima kwenu kisima cha mjadala wenye Afya. Hoja ya kuficha fedha USWISS ilipojadiliwa ili himitishwa pia kwa hoja Serikali ishughulikie, watu wenye ushahidi akiwemo mtoa hoja Mhe. Zitto kuwasilisha nyakara au ushaidi ili kuipa serikali muda wafuatilie Bunge hili ijadiliwe...
  11. K

    Gazeti la Tanzania Daima laadimika mtaani

    Karibuni tujadili kwanini halipo
  12. K

    Gazeti la Tanzania Daima laadimika mtaani

    Wanajamvi Nimefika kariakoo saa mbili nimetafuta mitaa yote sijapata nakala ya gazeti la tanzania daima nimeamua kwenda njian kwenye foleni hamna mwenye copy anayeuza nashangaa mwenge nzima hamna nakala. Nimeamua kulitafuta kupata tamko la chama kwani Jf hawatupatia namba na pia uchambuzi...
  13. K

    CHADEMA waifungulia CUF njia…

    jogoo hafi kwa utitiri
  14. K

    Jamani, Wanahabari Magwiji,Wanahabari za SIASA ya Tz, Wanaharakati Mtumie na bastola?

    hebu tuone wenzetu wanasalimikaje na kadhia hii ambayo haikuwa ndo kawaida ya Tanzania tupia nyingine za kuwafanya wenzetu kuwa na uhakika wa uzima wanapotumikia jamii
  15. K

    Hongereni walimu, mishahara juuu!

    mwenzetu anaota mapemaa hii Kiruuuu hebu wanajamvi wote tukalale nasi tuoteshwe na membe naye aoteshwe kama atachukua form 2015 wengine tuoteshwe maisha bora,nk Mwenzetu kafungua shule leo kawasimamia wototo usafi kajichokea kaoteshwe mishara juu. Jamani tanzania zaidi uijuavyo
Back
Top Bottom