Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

Kwa taarifa za uhakika DK. EMANUEL NCHIMBI NDIYE WAZIRI MKUU WA MH; EDWARD LOWASA AKIFANIKIWA KUINGIA IKULU 2015....PETER ANAENDA MIUNDOMBINU AU FOREIGN AFFAIRS
 
Seru-Gamba ana kashfa 2 kubwa....mchicha mwiba(pori) na pia ni Mnyarwanda!....kama PM anapatikana kwa wabunge wa viti maalumu...basi atakuwa PM ila kama kwa jimbo,asahau!
Bila shaka huu ndio msimu wake wa mwisho kuiwakilisha Kigoma mjini.
 
Wabongo kila mtu mjuaji. Kwa hiyo hii story ya Serukamba kuwa waziri mkuu umeijua leo baada ya yeye kutukana Bungeni? Siku zote ulikua wapi? Tatizo JF sometime udaku mwingi. Mtu akisikika kidogo tu kila mtu anamfungulia thread.
 
hakuna mtanzania anataka kuwa ----ed huyu si ----er....labda wanahitaji huduma
 
Wabongo kila mtu mjuaji. Kwa hiyo hii story ya Serukamba kuwa waziri mkuu umeijua leo baada ya yeye kutukana Bungeni? Siku zote ulikua wapi? Tatizo JF sometime udaku mwingi. Mtu akisikika kidogo tu kila mtu anamfungulia thread.
Wewe ndiwe hujui kuwa hii thread ina karibu miaka miwili hapa unalipuka tu
 
Nilipata bahati ya kukutana na mmoja ya watu ambao wako kwenye frontline ya mapambano ya Mh.Lowasa ya kulinda heshima yake waliojaribu kuipoka na kumzuia kuwa mgombea urais wa Tanzania. Moja ya maeneo ambayo alionyesha kutokukubaliana nayo sana au kumkwaza ni swala la bwana Peter Serukamba kuja kuwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania baada ya mafanikio ya kuchukua nchi mwaka 2015.
Kwa sasa anadai kuwa mipango yote ya kampeni inaratibiwa na bwana mdogo Peter na hata ukitaka kupatiwa msaada wowote mpaka aupitishe yeye.........kwa mawazo yake ni kuwa walau wageni wakienda kuongea na Mh.Lowasa basi awe anawapisha sebleni waongee private kuliko na yeye kuwepo hapo muda wote tena hasa wanapokuwa wako dodoma.Na kaendelea kuniambia kuwa Pita ni mtu ambaye atachukua uwaziri mkuu kwa jinsi walivyokubaliana likini cha ajabu ni kuwa anakosa kujiamini kwa muda wote kuwa amekaa pembeni ya Mh lowasa as if kuna mtu atamnyang"anya nafasi yake.NADHANI BWANA MDOGO KWA MSIMAMO WAKE ANAFAA KUSAIDIA NCHI YETU....................Wiki iliopita nilizungumza nae kuhusu matarajio ya kuwa na nafasi hio na hasa maneno ya kuwa anawaziba wenzie nafasi ya kumuona mh. Lowasa jibu lake lilikuwa ni jepesi kidogo kuwa watu wana wivu kuona anahaminiwa na Mzee.
Kama hili ni la kweli Kagame na Museveni watakuwa wamefanikiwa kuweza kuwaweza watusi kutawala East Africa.
 
Wabongo kila mtu mjuaji. Kwa hiyo hii story ya Serukamba kuwa waziri mkuu umeijua leo baada ya yeye kutukana Bungeni? Siku zote ulikua wapi? Tatizo JF sometime udaku mwingi. Mtu akisikika kidogo tu kila mtu anamfungulia thread.
mkuu kwa na ww unapenda kusoma udaku? That's what ur content depict.
 
Back
Top Bottom