Recent content by Karemboo

  1. Karemboo

    Vyeti vya shule na ndoa vinatofautiana majina, naomba ushauri jinsi ya kuvipeleka kwa HR

    Soma post uelewe usiniite vitu vya ajabu, hayo majina yametofautiana kwenye cheti cha ndoa tu baada ya kuolewa na mkristto. Vyeti vyangu vya kuzaliwa na taaluma vyote majina yanafanana ambayo ni ya kiislam
  2. Karemboo

    Vyeti vya shule na ndoa vinatofautiana majina, naomba ushauri jinsi ya kuvipeleka kwa HR

    Hapana nimezaliwa, nimesoma mpk namaliza shule majina yangu ni MWANAIDI JUMA KATANGA lakini nimeolewa kikristo ndo nikabatizwa na kupewa jina la janeth so cheti changu cha ndoa kikaandikwa JANETH JUMA KATANGA…. Sasa nataka kuupdate marital status kwa HR
  3. Karemboo

    Vyeti vya shule na ndoa vinatofautiana majina, naomba ushauri jinsi ya kuvipeleka kwa HR

    Dr JF nmembers naomba kusaidiwa mimi vyeti vyangu vya kuzaliwa na shule majina yake ni ya kiislam “Mwanaidi Juma Katani” lakini ndoa yangu ni ya kikristo na majina ya vyeti vya ubatizo na ndoa ni “Janeth Juma Katani”. Sasa nimeshaajiriwa serikalini na nataka nipeleke vyeti vya ndoa kwa afisa...
  4. Karemboo

    Nawezaje kupata scholarship ya Masters program?

    Ifakara health Institute (IHI) inatoa kwa hyo course tu
  5. Karemboo

    Nawezaje kupata scholarship ya Masters program?

    Kama uko interesred omba MSc. Public Health Research (NM-AIST) dirisha liko open now… then ukishapata admission kuna IHI wanatoa scholarship watakutafuta wenyewe
  6. Karemboo

    Mke wangu aliwahi kubakwa akiwa binti Leo ananieleza hajawahi kuwa na hisia ya mapenzi maisha yake Yote naombeni ushauri

    😂😂😂 ulivosema tanga nimecheka nikikumbuka mme wangu hadi asemaga “ sperm zimeisha
  7. Karemboo

    Nini husababisha hii kitu?

    Mimi sio mweupe ni maji ya kunde ila wasukuma woii😄🙌 tena mimi hadi kazi zinafanana (DME + Msukuma) na nakutana nao mikoa tofauti.. nashangaaga sana
  8. Karemboo

    Nilivyopata mpenzi siku ya valentine nikiwa na ex wangu

    Hapo huyo dada muongozaji alikuwa mzuri kuliko mpenzi wako. So ni wivu tu ulimsumbua, sisi wadada tukipenda visirani na kununa hakuishi tunahisi tunaibiwa kila wakati na siku tukiacha visirani ujue na upendo umeisha so huyo dada anakupenda. Ila huyo muongozaji hakupendi ni tamaa tu za treatment...
  9. Karemboo

    Mawazo yangu kuhusu wanawake na uongozi!

    Mimi ni mwanamke na nakubaliana na wewe, mara nyingi unapata treatment za hovyo ukienda kukutana na boss wa kike kuliko wa kiume
Back
Top Bottom