Recent content by Karanga Lawfirm

  1. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Nahitaji printer ya mkopo

    Habari, Mimi nikijana naejishughulisha na biashara ya stationery katika mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi . Printer nayotumia nilinunua Kwa mudu inachangamoto ambazo zinaathiri utendaji wangu wa KAZI. Naomba msaada kama Kuna taasisi au mtu BINAFSI anayoprinter inayofanya KAZI vizuri na kwasasa...
  2. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Msaada: Familia imedhulumiwa mafao ya marehemu baba yetu.

    hatua unayoweza kuanza nayo. Nikwenda mahakani ambako shauri la mirathi lilifunguliwa. Kwakua umesema aliwazungusha naamini unakumbuka baadhi ya mambo ikiwa ni pamoja na mahaka ambapo mirathi ilifunguliwa. mahakama itakupatia taarifa juu ya mwenendo mzima kuanzia uteuzi ulivyofanyika, mali...
  3. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kero ya mkopo

    ikiwa utashindwa kulipa kiasi cha deni kilichobaki, itapigwa mnada.
  4. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    Sheria inapaswa kutafsiriwa na kuelezwa kama ilivyo
  5. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

    Ndio hukumu itatekelezeka vizuri kabisa. Hicho unachofikiria nijanja ya nyani. Nikujuze TU kwamba mgawanyo wa mali huangalia mchango wa Kila upande katika kupatika au kuendelezwa Kwa mali husika. Nikweli alikukuta na kiwanja lakini kiwanja kimeendelezwa baada ya wewe kuanza kuishinae na...
  6. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea tukaachana na mwanamke mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?

    ndio mtagawana. Ndio kusudi la sheria ya ndoa kuweka hio kitu inayoitwa dhana ya ndoa. Lengo la kuweka kifungu cha kisheria cha dhana ya ndoa nikulinda haki za watu wawili wanaoishi Kwa pamoja kama mke na mume BILA kufunga ndoa Kwa miaka zaidi ya miwili pindi watakapo amua kutengana. kwahio...
  7. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    Kumueleza mkuu wako wakazi nivyema zaidi ili kuwekasawa mazingira yatakayokuwezesha kufwatilia na kutekeleza takwa lako BILA usumbufu na BILA kuathiri KAZI pia,
  8. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    mgogoro WA familia haungiliani na KAZI. Isipokuwa ukishindwa kujicontrol unaweza kukuathiri kisaikolojia na hivyo kupelekea kuathiri utendaji wako WA KAZI.
  9. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    1. process ya kwanza nenda mahakamani kaombe mahakama imuamuru mumeo arudishe watoto ukaenao wewe, kwasababu ni chini ya umri wa miaka saba na Kwa maelezoyako wewe ni mama nzuri ambaye unaweza kuwalea pasi kuathiri usitawi wao. 2. omba matunzo ya watoto kwasababu kisheria hususani Sheria ya ndoa...
  10. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea tukaachana na mwanamke mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?

    mkiishi kama mke na mume Kwa zaidi ya miaka 2 na jamii ikawaona na kiwachukulia hivyo mtakuwa mkichukuliwa nikama mke na mume (dhana ya ndoa). kuhusu mali mlizochuma Kwa pamoja. kila upande yaani mke na mume mnayo haki yakugawana KULINGANA na mchango mliochangia katika upatikanaji wa mali...
  11. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Help Me Understand some minor Details

    see advocate and take deep poll
  12. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Kutembea na Binti chini ya miaka 18 aliyekwishazaa ni kosa kisheria?

    kufanya mapenzi na binti aliyechini ya miaka 18 asiye mkeo nikosa la ubakaji, haijalishi ana mtoto au hana haijalishi ni mala ya kwanza au laaa!. Sheria inasema mtoto hawezi kuhiyari kufanya jambo hivyo hiyari yake ni non-sense.
  13. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Kisheria ipoje? Deni au wizi wa kuaminika?

    Ukilalamika na kumfungulia kesi ya jinai (wizi wa kuaminiwa) itakuongezea mzunguko mrefu. maana utapaswa kusubiri kesi ya jinai iishe then ukishinda uje utumie hukumu hio kama sehemu ya ushahidi kwenye madai hapo muhimu fungua madai ili mmalizane mapema uzuri ushahidi upo
  14. Karanga Lawfirm

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kupata Mke/Mume mtandaoni?

    unaweza pata mwanamke wakuoa mahali popote.
Back
Top Bottom