Recent content by kapyela

  1. kapyela

    Miaka Takriban miwili ya Mhe Rais Samia Ofisini na Mwelekeo wa Chama na Serikali

    Pinga hoja kwa hoja sio unakuja na maneno yako ambayo hayana afya. Let us Conceptualize together the milestone achieved then tuanzie kubishana hapo
  2. kapyela

    Miaka Takriban miwili ya Mhe Rais Samia Ofisini na Mwelekeo wa Chama na Serikali

    Acha kuwa na akili mgando mkuu. kwenye ukweli lazima tuseme. fuatilia tweets zangu utanijua vizuri mitazamo na itikadi zangu.
  3. kapyela

    Miaka Takriban miwili ya Mhe Rais Samia Ofisini na Mwelekeo wa Chama na Serikali

    Ndugu wanagenzi Wasalaam, naamini sote tu buheri wa Afya na amani mioyoni mwetu. Mosi, Kwa Hali ya kipekee namshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kwa uhai alionipa na amani ya moyo aliyonipa. Napenda kutoa maoni yangu juu ya Kazi alizozifanya Mhe Rais Samia ndani ya Chama na Serikali na...
  4. kapyela

    Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

    well-said, however, the issue is relative indeed!
  5. kapyela

    SoC02 A piece of posed advice to implementors with enriched powers

    Would like to Congratulate Government Officials regarding their tirelessly efforts devoted in Addressing different registered Problems/Challenges that CALLS your intervation for furthering and Fostering Country's developments, for this you-deserve immense acknowledgements, However, given the...
  6. kapyela

    Historia ya Noti na Sarafu za Tanzania

    Andiko zuri sana hili. nimelipenda. Keep the move. Only Sky and not Shy is the limit. provided the universe is one. Things will go backforward to backfuture our developments. Let give Support to this regime to prove to world why they should be granted to rerun in 2025 AGain MoRe. Rgds...
  7. kapyela

    Kafulila: Kwanini utekelezaji mradi wa LNG Tanzania umechelewa?

    Na David KAFULILA KUNA sababu nyingi za kuchelewa kwa LNG yetu kulinganisha pengine na tulivotarajia kama nchi lakn pia kulinganisha na washindani wetu eneo hilo kama Mozambique. Sababu kubwa kwa maoni yangu mimi ni anguko la bei ya gas duniani kwa karibu muongo mzima. Tathimini ilofanywa na...
  8. kapyela

    Mwelekeo wa Serikali ya awamu wa 6 chini ya Mama Samia Suluhu Hassan

    Ndugu wanajukwaa salam, Uongozi wa awamu ya sita Chini ya Mama Samia umeanza kwa kishindo. Hotuba ya kwanza kutolewa na Rais baada ya kula kiapo imebainisha mambo kadhaa. Mosi, kudumishi umoja, udugu na mshikamano, hii ni kauli ya kwanza kabisa iliyotolewa ambapo alienda mbali zaidi na kusema...
  9. kapyela

    Uboreshaji wa taratibu za ununuzi na mwelekeo wa Serikali ya Awamu ya Tano katika Ujenzi wa Viwanda

    UBORESHAJI WA TARATIBU ZA UNUNUZI NA MWELEKEO WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KATIKA UJENZI WA VIWANDA Serikali ya awamu ya tano katika siku zake 100 madarakani ilijikita katika kutengeneza mifumo inayopunguza mnyonyoro wa maamzi jambo ambalo lilipelekea pesa za maendeleo kufika kwa wakati na...
  10. kapyela

    Tanzania haishushwi Uchumi wa Kati na taasisi ya Moodys. Bado Tanzania yaipiku Kenya

    Lazima utambue kuwa Kenya kwa Afrika mashariki inafanya vizuri. uchumi wa kenya unategemea sana biashara ya kimataifa. hata hapa kwetu Tanzania Kenya ndio nchi iliyowekeza zaidi kwa takwimu hizi utakubaliana nami kwanini kenya iwe reference yetu kwa nchi za Afrika mashariki.
  11. kapyela

    Tanzania haishushwi Uchumi wa Kati na taasisi ya Moodys. Bado Tanzania yaipiku Kenya

    TANZANIA HAISHUSHWI UCHUMI WA KATI NA TAASISI YA MOODYS. BADO TANZANIA YAIPIKU KENYA! HOJA TISA (9) KUWEKA SAWA MJADALA RIPOTI YA MOODYS YA AGOST22, 2020 Na David KAFULILA Baada ya Taasisi ya kimataifa ya MOODYS kutoa ripoti yake jana kuhusu uchumi wa Tanzania kumejitokeza mjadala ambao...
Back
Top Bottom