Recent content by kapya

  1. K

    Wanachama ACT- Wazalendo waanza kurudisha kadi

    mbona kadi zote mpya???
  2. K

    Watumishi wote wa umma waliotia nia kuondolewa katika Payroll ya Serikali Julai 2015

    Wameshindwa kutumia sheria kushtaki wa escrow wanapambana na laki tano za walalahoi. Hatariiiiiiiiiiccm
  3. K

    Msigwa: Mnakaribishwa CHADEMA mje Mtubu, ni kama sehemu za Ibada

    Nafurahi sana kuona wale waliopotea na kutumikia waovu wanakutana na warekebisha dhambi kama T. Lissu, Dr. Wilbrod, kamanda wa anga mh mbowe n k. Mungu warudishe waliopotea sehemu takatifu na Salama kwa Maendeleo ya taifa
  4. K

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Chadema ni kama kanisa wenye dhambi huenda kutubu na kuzaliwa upya
  5. K

    Mbowe ameenda kufanya nini kwa Zitto Kabwe? Slaa nae anasumbuliwa na nini?

    mrema alishawahi kuulizwa na watu wa Vunjo kuwa mbona unaonekana umezeeka utaweza kutuwakilisha bungeni? Akajibu bungeni hakuna kazi ya kubeba zege. Linganisha Dk. Slaa kwenda ikulu
  6. K

    Vicent Nyerere na madiwani wa Shinyanga waliorudi kundini kutikisa jiji la Mwanza

    magamba hoi? wapange njama za kuwaua na hao
  7. K

    John Shibuda: Tundu Lissu ni Interahamwe

    mfa maji haishi kutapatapa bwana, ulikutana na wajanja wenzio
  8. K

    Tundu Lissu: Nitawania Urais kupitia CHADEMA 2015

    democratic ideas, safi xana
  9. K

    Membe toa tamko dhidi ya Malawi

    wameanza tena?
  10. K

    Ukawa wako sahihi

    tutafka tu, mpaka kieleweke
  11. K

    Akina mama na ndoo za maji vichwani karne ya 21!

    c.c.m oyeee! c.c.m nambari one
  12. K

    Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

    fuatilia uongozi wa queen elizabethy wa uk
  13. K

    John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

    safari njema shibuda itakuwa kamfuata zzk na mwampamba. ndege wenye mbawa sare huruka pamoja
  14. K

    Kwanini baadhi ya vyama vya siasa Tanzania vinatumia majina ya kiingereza?

    Habari wanaJF, Kwanini vyama vya siasa vilivyo vingi Tanzania vinapendelea kujiita majina ya kiingereza kuliko majina ya kizalendo (Kiswahili)?
Back
Top Bottom