Recent content by kapunika

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maandiko yanasema shukuruni kwa kila jambo.Kwanini tushukuru kwa kila jambo?

    Hujanipata mkuu wangu, kifupi ni kwamba naungana na wewe. Ni UNAFIKI mkubwa kumshukuru Mungu kwa Mambo yanayotuumiza Kama vile kupatwa na ugonjwa mkubwa Kama stroke halafu eti umshukuru Mungu kwa Hilo. Au mwanao azaliwe kilema Tena umshukuru Mungu kwa Hilo. Huo ni UNAFIKI. Ila kwa sababu sababu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maandiko yanasema shukuruni kwa kila jambo.Kwanini tushukuru kwa kila jambo?

    Tutakuweka kwenye kundi la vichaa kwa sababu akili yako haifikiri sawa na sisi wenzio. Mkeo akijifungua mtoto mwenye ulemavu, iwe ni upofu, kiwete nk unapaswa umshukuru Mungu. Ukipata stroke upooze upande mmoja na ubaki kuwa mtu wa kugeuzwa kitandani unapaswa umshukuru Mungu. ...Kama Kuna...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    What???! Atume nauli? Hachelewi kukuita kenge huyu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Mkuu Asante, una lugha Kali lakini yenye ujumbe ndani yake. Hasa hapo kwenye matumizi ya friji. Chemcha kwa wingi kusave fuel Kisha inakuwa ni kuunga tu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Titicomb, asipotoboa kwa haya uliyoweka hapa, hatoboi milele. Mkewe atafute mifuko minne ya cement iliyotumika. Aijaze udongo na badala ya kupanda maua apande veggies. Chinese, swiss chard, mchicha nk. Awe na kawaida ya kununua vifaranga 10 vya KUKU Kila mwanzo wa mwezi na atenge 30k ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania AI Platform Evaluator: Requesty AI vs OpenRouter AI

    Mwl. You don't appear to be an angry, mad man with a vengeance mission of striking to death whoever happens to be in your path. Yet you are doing exactly this kwa Hilo andiko hapo juu. Ungetuandaa hata kidogo kujua ni Nini kinachoendelea ili wa kupita tupite. Kifupi sijaelewa chochote na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mchanganuo wa gharama za chakula kwa vifaranga 1000 vya kuku wa mayai mpaka kufikia kutaga

    Focal, no sio kuhusu KUKU. Ni kuhusu utu na ubinadamu wako kwa jinsi ambavyo umewajibu wadau wote maswali Yao kwa uwazi na unyenyekevu mwingi. You're such a gentleman.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na mpunga na migomba, ni mazao gani huweza kulimwa kwenye ardhi yenye asili ya maji mengi muda wote?

    Mkuu, ungetaja pia ni ukanda upi. Nina maana huenda eneo likawa na maji lakini ni ukanda wa joto ambako magimbi maji na miwa vikafanya vizuri. Ikiwa ni eneo la baridi hata hayo au mpunga ambayo ni mazao maji hayatafanya vizuri. Umefikiria pia kuchimba mifereji ili kukausha shamba? Pole, nimetoa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Shikamoo kilimo

    Take it easy bro. Mwaka huu wengi tunalia. Kumbuka tu huu sio mwisho wa maisha. Somo ambalo binafsi nimejifunza miaka ya nyuma ni never ever, kulima sehemu ambayo hakuna maji mbadala ya mvua ili umwagiliaji ufanyike Mambo yanapotaka kuharibika completely. Mabadiliko ya tabia nchi yanatugharimu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufunga Drip kwa ekari (70mx70m)

    Junior uko wapi mkuu, jamaa wanatema miongozo huku huonekani.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba hakuna binadamu kwenye mabilioni ya solar systems ni akili au matope??

    Na sisi ni Nini Kiranga, kuku?😂😂😂
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba hakuna binadamu kwenye mabilioni ya solar systems ni akili au matope??

    Boy behave. This business of calling people watoto isn't healthy. Shule? Pia haya si Mambo yanayohusu usomi au ujinga wa mtu. These are issues depending on levels of how free your brain has been left free to do it's core business. That of thinking. Lot of us are in our boxes, comfortable. Take...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    Hii ndio hatua ya kwanza unayopaswa kufanya kabla ya kupanga bajeti. Andika Kila kitu unachonunua. Uzuri siku hizi Kuna apps zinazorahisisha Hilo. Baada ya mwezi au miwili tumia data hizo kupanga bajeti. Kumbuka bajeti ni Sheria, utofauti ni kwamba haijapangwa na bunge ni Sheria uliyojipangia...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

    😂😂😂😂 Be serious mkuu. I respect you.
Back
Top Bottom