Duniani umekuja kuishi ,kudumu au kuwapa mateso wengine, maswali ayo unijia napo mtazama mama. Hongera kwenu nyinyi kwani kwenu akuna Kama mama , lakini Mimi ata sioni Kama anafahida kwangu.
Kwa mda mrefu mama amekuwa akituaminisha kuwa baba ni mchawi, afai , katufunga kuzimu, "baba yenu ni...