kuna jamaa mmoja alikuwa nchi ya uarabuni.Alipo kuwa anataka kuvuta sigara yake akagundua kwamba hana kibiriti..Bahati nzuri mbele yake kulikuwa na mwarabu,tatizo likaja kwamba hajui kiarabu,basi ili aeleweke akamwambia yule mwarabu "give me JEHANNAM"...
teja aligombana na babaake.akatoka nje akiwa amekasirika akaenda moja kwa moja hadi kwenye geti la makaburi afu akabandika picha ya babaake chini ya picha akaandika "COMING SOON"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.