Msaada jamani, please!

kapujege

Member
Aug 4, 2012
34
6
mi nina tatizo la uume wangu kuwa mdogo.mda mwingine naona hata aibu kufanya mapenzi na msichana.juzi juzi 2 nimekataa kufanya mapenzi na demu wangu kwa kutoa visingizio kibaaao.nisaidieni ndugu zangu kwa namna yoyote ile.
 
Umeupima na kujuwa udogo wake huu Uume wako?Una matatizo ya kutokujiamini hicho hicho kibamia chako ukikijuwa naman ya kukitumia basi kitamtosheleza huyo mpenzi wako ondosha mawazo mabaya eti mimi ninacho kibamia kidogo ninaona aibu kuwa mwanamke akikiona labda atanicheka jaribu kuondosha hizo fikra mbaya. ukikitaka kibamia chako kiongezeke fanya hivi (Pata Mafuta ya zaituni huongeza nguvu za kiume kwa kunywa kijiko kimoja kwa siku pamoja na kuuchua uume mafuta yaliyochanganywa na vitunguu swaumu kwa muda wa siku saba hadi kumi na moja) au pitia hapa kwenye Thread yangu hii https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
 
Alilouliza Mkuu MziziMkavu ni la msingi. Huo udogo unaomaanisha ni upi? Hebu mwaga info mwanangu tukusaidii. Uhitaji kuwa punda kuweza kufanya hayo madude bali uwe na moyo wa simba. Mungu aliyekupa hiyo ndude anajua saizi gani inakufaa. Try it with her and then you will tell us how easier and smooth everything will go. Take it from me, you need to glean courage boy.
 
yaani ni kidogo kidogo kweli sio masiara hata ungekuwa wewe mzizimkavu na wewe father ni lazima mngeona aibu 2
 
mi nina tatizo la uume wangu kuwa mdogo.mda mwingine naona hata aibu kufanya mapenzi na msichana.juzi juzi 2 nimekataa kufanya mapenzi na demu wangu kwa kutoa visingizio kibaaao.nisaidieni ndugu zangu kwa namna yoyote ile.[/QUOTE

Kaka.!!, Sikia kama ishu yako ni chini ya "ichi tatu (3) baada ya kusimama (erection) hapo ndio itakuwa tatizo, lakin kama ni ichi tatu au zaidi nakutia moyo uko poa tuu na unaweza gusa "angle" zote za jinsia ya pili, kwani zao si zaidi ya ichi tatu...
 
Hapana c chini ya inchi tatu
 
huwezi sema nzuri kama ujaona mbaya...
huwezi sema ndogo kama ujaona kubwa..
una make comparison na nani?
 
ukubwa wa uume sio ishu, ishu ni jinsi ya kutumia uume wako, style muafaka za kupozi kunako tendo
 
Back
Top Bottom