huawei ascend y300

huawei ascend y300

kapujege

Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
34
Reaction score
6
je,hii simu ni nzuri?.nisaidieni kwa kunipa sifa zake.Nahitaji kuinunua.
 
Uzuri wa mke ni kumfurahisha mume kutokana na mahitaji yake,

vilevile kwenye simu, uzuri wa simu ni kumfurahisha mtumiaji wake. wewe unataka hiyo simu kwa matumizi yapi?? bila hicho hutuwezi jua uzuri wa hiyo simu kwa mahitaji yako.
 
Back
Top Bottom