Recent content by kapu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hello..mwenye pdf ya Arusha mjini atupie tafadhari.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Nyie mmeulizwa ngoma ngumu...sehemu nyingine taja jina la diwani..mtendaji..Sensa ya mwisho..jukumu la karani
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Marks ni 0 kakosa kabisa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kesho maswali yatakua nondo balaa..
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kesho maswali yatakua nondo hatari..heri yenu mlofanya leo..wengine wameturudisha mpaka kesho.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Wadau naomba mwenye pdf ya Arusha mjini
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Tuendelee kuvumilia hakuna marefu yasiyo na ncha,Ila tujue kuna kupata na kukosa yote ni matokeo katika hili japo hakuna alieomba ili akose.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    Topic unachagua mwenyewe..tuliomba direct chuo na utumishi walokuwapo kusimamia tu ila oral wanakua wale doctors ndo wanauliza maswali..hr na secretary pia academic wa chuo husika anakuwapo.Panel ilikua na watu 7 na tuliitwa watano tu.Walianza na maswali general after that nkaona umeletwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    Nliwahi kufanya udom..written ilikua research na pia kuandika topic ktk masomo husika.....oral unapewa nafasi ya kufundisha topic unayochagua mbele ya panel umeweka kabisa na ubao kama lecture.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kupata mafao ya kuacha kazi NSSF?

    Vipi kuhusu fao la ukosefu wa ajira psssf kwa mtu aloachishwa kazi baada ya kuchangia miezi 14 na ana mwaka tangu aachishwe ila sasa Ndo anataka kufuatilia.Bado hana ajira nyingine.Msaada wadau.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mengi yatasemwa ila mbivu na mbichi itajulikana soon.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Watu watulie mamlaka zifanye kazi zake.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye post graduate ya sheria anaruhusiwa kwenda law school?

    Hujaelewa nlichomaanisha,,soma vizuri post nloikosoa,alikua anamaanisha Mzumbe kuna baadhi ya hizo core course 16 zilizoorodheshwa LST kua hawasomi na ndo nlichopinga,ambao wanaingia LST wanasoma course zote wote kwa pamoja kama ulivosoma so nlichoandika hakuna uongo ila hukuelewa nlikua...
Back
Top Bottom