Mwenye post graduate ya sheria anaruhusiwa kwenda law school?

Mkuu fanya utafiti kabla ya kuandika vitu ukapotosha umma,,alokwambia Mzumbe hawasomi core course 16 zote zilizoorodheshwa law school ni nani? core course zote 16 Mzumbe wanasoma na mpaka sasa wapo waloingia cohort ya 23 na hawapaswi kusoma hizo core course upya.

Wewe pia muongo lst unaanza moja hakuna unachoacha hata kama ulisoma huko kwenu mzumbe plus social works,cheza mbali na lst,darasa moja student 500 mwl mmoja !!!!
 
Wewe pia muongo lst unaanza moja hakuna unachoacha hata kama ulisoma huko kwenu mzumbe plus social works,cheza mbali na lst,darasa moja student 500 mwl mmoja !!!!
Hujaelewa nlichomaanisha,,soma vizuri post nloikosoa,alikua anamaanisha Mzumbe kuna baadhi ya hizo core course 16 zilizoorodheshwa LST kua hawasomi na ndo nlichopinga,ambao wanaingia LST wanasoma course zote wote kwa pamoja kama ulivosoma so nlichoandika hakuna uongo ila hukuelewa nlikua namaanisha nini.
 
wakuu samahani naomba kuzijua hizo course 16 ambazo law school wanataka mtu asome
 
The Advocates Act CAP 341 imesema katika Section 8 (1) a, hapo kuwa katika vigezo vya kusoma LST ni kuwa na degree ya Sheria katika chuo kinachotambulika na serikali.
 
Wewe pia muongo lst unaanza moja hakuna unachoacha hata kama ulisoma huko kwenu mzumbe plus social works,cheza mbali na lst,darasa moja student 500 mwl mmoja !!!!
Acha uongo wewe, kipya kipi unachoanza kujifunza law school (hadi useme unaanza moja?).
 
20180830_153957.jpg
 
Wanasoma.. juzi kuna mtu kauliza palw Regstrar kasema wanwaadmit kwan pale unahtaj uwe na course 16 ila kuchkua course za PDGL na Law enforcement mru anakuwa na jumla ya course 11 hizo tano anasoma wakat wa kuendelea na masomi. Vyio vingne kama mzumbe,Tumaini hawasom course zote za law school wakifika pale wanapaswa kusoma upya.
Hiv umelala au unaamua kupotosha kwa makusud? Mzumbe hawasomi course gan hzo?
 
Salaam waungwana . Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba law school pale mawasiliano ila mwanzo alisoma Bachelor ya Law Enforcement na amesoma PostGraduate Diploma in Law.. je wanaweza mpokea akasomaa??

Swali ni je wenye Postgraduate Diploma in Law Wanapokelewa pale law school?
Maelezo yako wazi kwenye website ya law school. Jiongeze ongeze mambo mengine. Anyway NO.
 
Back
Top Bottom