Recent content by Kaptula la max

  1. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Ya, 29/10 Haiwezi kusafishwa na propaganda

    Muda unaweza kusonga mbele. Kauli za kisiasa zinaweza kubadilika. Ripoti za ndani zinaweza kutungwa kwa lugha laini. Lakini 29/10 ni kumbukumbu ya kudumu ndani na chamber za kimatifa Na sasa dunia inaanza kuonyesha kuwa haikusahau. Wiki hii, maseneta wa Marekani kutoka pande mbili tofauti za...
  2. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Chadema Ikifa, Siasa za Vyama Vingi Zitakufa — Je, CCM Itabaki Salama?

    Katika siasa za kidemokrasia, uwepo wa upinzani si hisani kwa chama tawala bali ni sehemu ya mfumo wenyewe. Ndiyo maana swali la “ikiwa Chadema itadhoofika au kufa, CCM itabaki salama?” lina uzito mkubwa kuliko wengi wanavyofikiria. Kwa miaka mingi, imekuwa chama kikubwa na chenye mizizi...
  3. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Chocheeni kuni mbichi moto ukolee

    Nanukuu, Eti, oh, imenyesha juzi tu Maji sio mengi, nisubirini kule lishindikana vipi kuyapima maji kwa mti, ndio mkawaambia watu wavuke? Mjomba, binadamu ni kama ganda la kitabu, mpaka umfungue maandishi ndio uweze kumuelewa Eti, lililotokea mbali tufanye limepita tunaomba samahani, na...
  4. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

    Je, tutegemee baraza la wazee kuitishwa soon?
  5. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Zingatia kichwa cha mada tajwa, NI dhahiri kama taifa sasa tunapaswa kujitathimini na kujirekebisha pale tulipoharibu, kihistoria kwenye mataifa yote yaliyoharibika hapa Africa ni kutokona na uchawa uliozaliana taratibu ndani ya taifa husika na baadae waliposhindwa kuucontrol walijikuta...
  6. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

    je ndio mwanzo wa miisho? leo,
  7. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 80's ni moja ya vizazi vya ovyo sana Nchi hii!

    Hii sio sawa mkuu unaharibu uzi
  8. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 80's ni moja ya vizazi vya ovyo sana Nchi hii!

    Mkuu watoto wa bukubee ni zao la hichi kizazi cha 80's
  9. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 80's ni moja ya vizazi vya ovyo sana Nchi hii!

    Waraibu wa mihadarati wengi wapo hiki kizazi ni kizazi chenye verylow self esteem!
  10. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 80's ni moja ya vizazi vya ovyo sana Nchi hii!

    Uko sahihi mkuu wengi wao hata malezi yamewashinda
  11. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 80's ni moja ya vizazi vya ovyo sana Nchi hii!

    IGwe! Moja ya vizazi vya hovyo kuzaliwa nchi hii basi ni kizazi cha miaka ya 80's. Hiki kizazi kimejaa kina baba na kina mama wabinafsi wa kupindukia, waoga wote wako humu, machawa wote utawakuta humu, kama ulimsikia jiwe akizungumzia watanzania wanyonge basi alikua anazungumzia hili kundi! ni...
  12. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kipekee kabisa nipende kumshukuru mweshmiwa daktare samia suluhu hassan rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania. bila jitihada za serekari yake ya awamu ya sita nisingepata seat kwenye hii daladala ya inayokwenda mbagala!
  13. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke kero kabisa

    wote hamjielewi!
  14. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania "Tukiwezeshwa tunaweza" inaweza kuwa kauli ya kidhaifu

    Hili nalo wachumi wetu mpo hapa naamini mtalifanyia kazi! Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom