Recent content by Kapilipoint

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuwalaumu Majaji soma (Judges Remuneration and Terminal Benefits Act)

    Masanja acha umbumbumbu yote yaliyoandikwa ni gharama za Serikali haikosi uko lumumba?
  2. K

    JamiiForums Tanzania M/Kiti UVCCM Manyara: Wapinzani watafute kazi nyingine za kufanya

    CCM haina UBAVU Wa kurudisha nchi kwenye Chama kimoja hilo ni swala la kimataifa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Standard Gauge ikikamilika,ipewe jina la MAGUFULI TRAIN

    Mbona DARAJA LA Kigamboni halikuitwa KIKWETE?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtulia atema cheche, ateka hisia za wengi

    KWANI wewe hujui? Tunataka hata wasio na akili wajue
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mtulia atema cheche, ateka hisia za wengi

    CCM MNAFANYA KAMPENI za nini wakati TUME na Mashehe ni wenu?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je Unazijua Tabia Za Maafisa Utumishi

    Mtumishi unapostaafu afisa Utumishi anakutaka upeleke nyaraka ambazo yeye ndio alikupa, bado anakuambia umpelekee JALADA lako la ajira ambalo liko Serikalini angepaswa kuliagiza
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wasomi kujiunga na ccm nikutaka mikopo na ajira ?

    Ahaaaaaa ccm ikufae wewe kuna maelfu wapo lumumba wanashinda toka asubuhi mpaka saa12
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali /mifuko ya jamii iache usumbufu kwa wastaafu kuwatuma kufuatilia majalada mikoani

    Hakika serikali na mifuko ya jamii imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa wakati mtumishi wa umma anapostaafu. Serikali inapomtaka mtumishi wa umma atoe nyaraka zake za ajira wakati serikali yenyewe ndio iliyompa huyo mtumishi inashangaza. Serikali inapomtakamtumishi wa umma akalete jalada lake...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wasomi kujiunga na ccm nikutaka mikopo na ajira ?

    Wasomi fungukeni AJENDA hiyo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hatimae Ester Bulaya afanikiwa kumstaafisha Wassira kugombea ubunge

    Eddy kwani hakulijua mbona alikuwa anagombea?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Picha za Sheikh Alhad Mussa na makada wa CCM zinatoa tafsiri gani? BAKWATA toeni ufafanuzi

    Tume ya uchaguzi mbona sheikh mkuu wa Dsm anafanya siasa na ccm hamkemei?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mtulia hafai kuwa Mbunge tena, kauza ubunge wake na ni mbinafsi

    MTULIA tushamjua HATUNA sababu ya kupoteza muda Hafai yupo Kwa maslahi yake
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mtulia hafai kuwa Mbunge tena, kauza ubunge wake na ni mbinafsi

    Bw.Mtulia ni mbinafsi hafai kuchaguliwa.Hata CCM inajua.Kitendo cha kubinafsisha ubunge wako bila kutushirikisha tuliokuchagua ni Ubinafsi Mkubwa.Hatuna imani na wewe hata VIJANA uliwahidi kuwapa MIKOPO ukiwa Mbunge Wa CUF lakini HUKUWAPA.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Wanasheria wote waajiriwa wa serikali kuwa chini ya Mwanasheria Mkuu ( AG)

    Makusudica umeumia ulipotajiwa diktete
Back
Top Bottom