Serikali /mifuko ya jamii iache usumbufu kwa wastaafu kuwatuma kufuatilia majalada mikoani

Kapilipoint

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
381
343
Hakika serikali na mifuko ya jamii imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa wakati mtumishi wa umma anapostaafu. Serikali inapomtaka mtumishi wa umma atoe nyaraka zake za ajira wakati serikali yenyewe ndio iliyompa huyo mtumishi inashangaza.

Serikali inapomtakamtumishi wa umma akalete jalada lake mkoani la kuajiriwa wakati serikali ingeagiza tu jalada liletwe huo nao ni usumbufu. Mtumishi anaijulisha serikali miezi 6 kuwa anastaafu basi serikali ikusanye nyaraka hizo pamoja na jalada.
 
huoni kila kukicha maafisa katika halimashauri wakiwataka watumishi wapeleke barua za ajira.? nakwambia ni vituko tu !!!!!!
 
Back
Top Bottom