Recent content by KAPILIGI

  1. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jimbo la Zanzibar ya Wamasaai linaenda kwa mwangalizi wa Mali Mkuu wa Hekaya aliyestaafu

    Ataiweza kweli kigamboni kama “agnya” inamshinda?
  2. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu maarufu wa Geography, Mtegetwa Mng'ala Afariki Dunia

    Apumzike kwa amani. Kupitia vijitabu alivyoandaa vya topic mbalimbali za Geography alifanya maisha ya shule kuwa rahisi mno kwa somo hilo.
  3. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Ubungo mataa “kijazi interchange” mpaka uwanja wa taifa.
  4. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania Nehemia Mchechu ni kiongozi mwenye maono

    Apewe muda.
  5. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai aliachia kiti kwa ubashiri wake tu! Huyu aliyepo anashirikiana na wezi? Basi ang'olewe haraka sana!

    Zile za kumpongeza mhe rais hazijasubiri mpaka amalize muda wake wa uongozi 😂😂 Kwenye bunge hilohilo la bajeti nafasi ilipatikana.
  6. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Kipindi cha mzee tulifundishwa kuwa makini na matumizi ya pesa, maana ukichezea pesa leo huna uhakika kama kesho utaipata 😂😂
  7. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Ni muda sasa kuwe na chombo cha kumwakilisha mwananchi ambacho si bunge 😂😂.
  8. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango apiga marufuku Polisi kufunga Barabara kwenye Misafara

    Mtoto wa masikini 😂 Hii kauli maana yake si wazazi wake ndio masikini na si yeye
  9. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiwauzie Marekani vyura wa Kihansi badala ya kuendelea kula hasara ya kuwatunza bila tija?

    Na wamekua wengi kweli kweli tangu wamepelekwa huko, zaidi ya 6000
  10. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Nimepiga hesabu ya hasara kwenye ripoti ya CAG, ni zaidi ya Trilioni 30

    Muda sasa tufanye tathmini je tunalihitaji bunge??? 😂
  11. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Magufuli na kero ya kufuatwafuatwa nyuma na mawakala

    Ana kamisheni yake kama akifanikiwa kukushawishi, so suala la kufuatwa fuatwa aliepukiki😂😂
  12. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

    Na anapenda misosi “…tomato kachumbari weka pilipili kwa mbali… 🎶 Viepe jazajaza mishikaki isiungue sana…🎶…” 😂😂
  13. KAPILIGI

    JamiiForums Tanzania Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma?

    😂😂😂😂
Back
Top Bottom