Recent content by Kapela Msonda

  1. K

    Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    Ama kweli "BOSS" uelewa wako mdogo sana. Unafananisha mamlaka ya Waziri Mkuu Majaliwa na Rais wa nchi Magufuli na mamlaka aliyokuwa mayo Mwakyembe kama Waziri wa Uchukuzi? Ulitegemea Waziri wa Uchukuzi achukue hatua kama alizochukua Magufuli kumsimamisha kazi Commissioner General wa TRA au...
  2. K

    UKAWA wakosa Hotel Mpanda, wamlaumu Kikwete na Mwakyembe

    Ngumi nzito aliyoishusha Dr. Slaa kwa CHADEMA na UKAWA hivi karibuni imeendeleza kizunguzungu kikubwa kwa Timu ya Kampeni ya mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa, kiasi cha kumlaumu Rais Kikwete na Waziri wake Dk. Mwakyembe kwa baadhi yao kukosa vyumba vya kulala Mpanda mjini jana usiku...
  3. K

    Mwakyembe aelezea suala la mabehewa feki, ajibu yaliyoandikwa Nipashe

    Unamwamini mzee Sitta? Kati ya mabehewa zaidi ya 300 yaliyoagizwa, mangapi alisema ni mabovu? Mbona sisi wafanyakazi wa TRL hatuyaoni hayo mabehewa mapya na mabovu? Yako ofisini kwa Sitta au ofisi za NIPASHE?
  4. K

    Dr. Mwakyembe kufikishwa mahamakani kwa Utapeli

    kimbegu njia Namfahamu sana Kubenea na namfahanu sana Chris Chae ni tapeli wa kimataifa anayejitambulisha kuwa ni Mkorea na ndugu wa Ban-ki-Moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, wakati yeye ni Mmarekani na hana undugu na kiongozi hiyo. Katutapeli sana wafanyabiashara wa hapa Bongo wenye nia ya...
  5. K

    Mbunge wa Kyela, Dr. Harison Mwakyembe aifunga radio ya jamii ya mpinzani wake kisiasa

    Hoja za kitoto kwelikweli! Singida nao wamefungiwa, ni kwa sababu ya Mwakyembe? Mbona hawalalamiki kitotototo kama hivi? Clouds FM walipopigwa faini ya sh. Mil.7 na TCRA kwa kukiuka maadili, wangeanza kubwabwaja kama akina Mwakalinga wa London kusema "Mbona EATV, mbona STAR TV nk" hawajafungiwa...
  6. K

    Bw. Membe hamuongelei vibaya Bw. Lowassa

    Dk. Mwakyembe alipolalamika juzi kuwa kuna kundi la wahuni linatumia jina lake na cheo chake kusambaza taarifa kwenye mitandao ambazo hajaziandika yeye, nimeelewa sasa baada ya kuisoma thread hii ya Barbarosa, typical PR piece ya umamluki wa kumuuza Membe na kuwajengea chuki wengine. Kwa kuwa...
  7. K

    Madeni Kipande atimuliwa kazi rasmi Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

    Umenikuna brother! Halafu huyu Sitta anafikiria nini: mtu umemkuta na kosa la rushwa, badala ya kumkabidhi Polisi na TAKUKURU, unampeleka UTUMISHI akapewe kuku zaidi! Kuna kitu hapa! Ripoti hiyo ya Uchunguzi iwekwe hapa!
  8. K

    Madeni Kipande atimuliwa kazi rasmi Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

    Unaweza ukaimwaga hiyo Taarifa ya Uchunguzi na sisi tukaisoma tukajua wizi na rushwa za Kipande ambaye badala ya kukabidhiwa TAKUKURU anapelekwa Utumishi akapewe kazi nyingine?
  9. K

    Mzee Sitta Kuunguruma Leo Ofisini Kwake

    Waziri wa Uchukuzi, Mzee Samwel Sitta leo saa tano na nusu asubuhi ataongea na waandishi wa habari ofisini kwake kumaliza mzizi wa fitna ndani ya wizara yake, msemaji wake James Rock Mwakibinga amesema. Ujumbe kamili wa msemaji huyo wa Mzee wa Kasi na Viwango unasomeka: "Ndgu.Mwandishi, kwa...
  10. K

    MAGUFULI na MWAKYEMBE tubuni dhambi hizi.

    Tatizo hapa ni Ben Saanane - hajawahi kuisoma Taarifa ya Richmond! Pili, Ben Saanane si mwanasheria kujua sanaa ya uwasilishaji taarifa. Mimi nimeisoma yote na nimefurahia staili ya uwasilishaji aliyoitumia Mwakyembe - ya kuficha ushahidi nyeti kwa matarajio kuwa Lowassa angeamua kuikataa...
  11. K

    Gazeti la Raia Mwema, kwanini mnamlisha Maneno Magufuli juu ya kugombea Urais?

    Hivi Mdee kumwita Jembe Magufuli wakati wa ufunguzi wa barabara jimboni kwake ina maana anafaa kuwa Rais? Wangapi wameitwa majembe? Hata Lowassa, Chenge, Tibaijuka, Ngeleja wameshaitwa majembe kwa nyakati mbalimbali! Acha simplistic arguments, we are dealing with national interests here...
  12. K

    Dr Mwakyembe amsifia Edward Lowassa kwa Utendaji wa kazi

    HIZO NDOTO ZA MWENDAWAZIMU. KATIKA ZIARA NZIMA YA KINANA, MWAKYEMBE HAKUMTAJA LOWASSA WALA FREDDY WALA REGINA! NI POROJO ZA KAWAIDA JF ZINAZOSAMBAZWA NA MAKUWADI WA MAFISADI. Msonda, Kyela.
  13. K

    Wazee na madiwani Kyela kuunda tume kumuona rais juu ya ugonjwa wa Mwakyembe

    Mkuu, unanukuu hata wendawazimu? Nina wasiwasi na wewe pia ...
  14. K

    Picha;CUF ndani ya Bunda mji wazizima,Wasira presha juu

    Picha hiyo siyo nzuri kwa CUF. Sioni wapiga kura. Naona watoto wadogo tu ambao inawezekana kabisa walikimbilia mkutano huo wakidhani ni moja ya maonyesho ya Airtel yanayoambatana na burudani kutokana na shati alilovaa Itatiro.
  15. K

    TAKUKURU; Lowassa Kawakosea nini?

    Mkuu, sentensi yako ya pili ni vema isomeke: "Cha kushangaza mko BIASED" badala ya "Cha kushangaza mko BIAS". Vilevile, matumizi ya neno "nature" kwenye sentensi yako ya mwisho si sahihi, yanatoa picha nyingine kabisa ya uliyotarajia. Mwalimu Msonda
Back
Top Bottom