Sijui ni nani alianzisha Plate Number za 3D lakini ukweli ni Kwamba Ubunifu huu Ulipokelewa vizuri mtaani kiasi Cha Wabunifu Kuanza kuneemeka utundu wao.
Lakini Kabla Asali hiyo haijakolea mdomoni Utamu umeingia mdudu Serikali Kupitia Jeshi la Polisi wamepiga Marufuku matumizi ya Plate Number...
He was murdered. Hakuna Siri tena. Ushahidi wa Mazingira unaonyesha. Kuna wanafamilia walitaka kukanusha kwamba mzee hakuwa na Tatizo la Moyo washauri wakapiga stop kwa Usalama wao. Magu alikuwa na Afya imara Sana hata wewe unajua
Kama Kuna nchi inaongoza kwa kupiga Mikwara ni Tanzania. Kuanzia viongozi wananchi mpaka Hawa wajuba Feki. Jana Kuna Traffic Police alinisimamisha sehemu kwa mkwara alioanza nao nilijua hata elfu ishirini hachukui aisee Mwishoni akalamba buku tatu. Yoga Mikwara isikutishe Mwishoni hao hao ndo...
Sio kweli labda kama ni Mara ya Urusi.
Iko hivi ikitokea mmeachana kama mwanamke hajazaa anatakiwa kurudisha Mali na kitendo hicho cha kurudisha mali kinachukuliwa kama mwisho wa Ndoa hiyo. Endapo amezaa atarudisha nusu ya mali iliyotolewa. So kuachana kupo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.