Recent content by kapandila

  1. kapandila

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu interview za TARURA huwa zikoje

    Kama maada hapo juu inavyosema nimeitwa kwenye interview TARURA kada ya Procurement naomba mwenye ufahamu wa kujua huwa interview zao zipoje? Naomba mnisaidie
  2. kapandila

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe kwa Watanzania. Asema Mashtaka ya Mbowe yanachochea chuki na kupasua Nchi

    Baada ya kuapishwa na kumzika hayati JPM Mama akamteua VP iyo ikapelekea kuunda baraza lake la mawaziri kwa iyo mbali na mawaziri wengi kubaki na kuweka wachache yeye hakuona umuhimu kwakuwa aliwapitia wote akaona wanafiti,, pili baadae akatangaza Wakuu wa mikoa hiyo yote ni kuweka safu yake...
  3. kapandila

    JamiiForums Tanzania Ikulu imerudi Dar, kuhamia Dodoma zilikuwa fikra za kijinga

    wizara zipi ambazo zipo dar sasa? pia kuwa na bandari sio sifa,, ndomaana hata hapa dodoma kuna uwanja wa kimataifa wa ndege unajengwa but yote kwa yote ki usalama zaidi dodoma ni sehemu salama kuliko dar
  4. kapandila

    JamiiForums Tanzania Agizo la RC Makala kuhusu ujazo wa daladala na uvaaji barakoa limedharauliwa au halikueleweka?

    Serikali ya mkoa ingetoa elimu juu ya uvaaji wa barakoa tu ingetosha kabisa lakini kwenye issue ya level seat kwakweli nikuwaonea tu kuanzia abiria, madereva na wamiliki wa vyombo vya usafiri... Mkuu wa mkoa anaishia kutangaza tu kwenye vyombo vya habari lakini ilitakiwa kuanzia huku mtaani...
  5. kapandila

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la vijana wadogo walinzi, hii inaleta picha gani kwenye jamii?

    Inaleta picha kwamba tumeingia uchumi wa kati
  6. kapandila

    JamiiForums Tanzania Hivi mmuliki wa vodacom atikea wapi?

    Unapataje vifurushi hivi? Nipe menu unayopata hivi vifurushi au ni baadhi ya line
  7. kapandila

    JamiiForums Tanzania Makonda ana ujumbe mzuri alioshindwa kuuwasilisha

    Exactly Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kapandila

    JamiiForums Tanzania Woga wa Uchaguzi za Serikali za Mitaa CCM wameajiri makada nchi nzima kuwa watendaji wa kata

    Hizo habari zinatoka chanjo kipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kapandila

    JamiiForums Tanzania CCM itapoteza majimbo mengi kwenye uchaguzi mwaka 2020

    Samahani Leo nitagusia uchaguzi mkuu wa 2020 hasa nikiangalia ndani ya chama tawala. Kwanini nasema ccm itapoteza majimbo mengi ya ubunge 2020 ni kwasababu kwanza 1. Kuna wabunge waliohamia kutoka vyama vya upinzani kwenda ccm kuunga juhudi za raisi hawa hawana influence kwa wanachama wa ccm wa...
  10. kapandila

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Ngiri (Hernia), Dalili na tiba yake

    MSAADA:kwa kwenye uelewa Wa tatizo LA ngiri maji (hernia) Wana jf Yapata sasa miaka 4 nimekuwa nikisumbuliwa na ngiri maji (hernia) naomba msaada wenu nini tiba yake
  11. kapandila

    JamiiForums Tanzania Tuseme: Makonda, Haya hapa Majina ya Wauzaji Madawa ya Kulevya wakubwa

    Habari wana JF! Toka Jana mchana baada ya RC Makonda ku release majina ya watu waliokamatwa na wanaoshutumiwa kwa uuzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya kumezuka mjadala mkubwa sana kwenye media na social media kuna wanaompongeza na wanaombeza , lengo la uzi huu ni kujikita zaidi kwa...
  12. kapandila

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

    Unge kuja hapa na quoted Yangu ambayo nilishawahi kujudge ukabila kwa suala lolote lile ingekuwa vzr ! Otherwise sijawahi kukubaliana na MTU yoyote yule kwenye issue ya kujudge ukabila na kuweka pembeni sifa ya MTU husika.
  13. kapandila

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

    Tz hatujafikia huko braza ? Unawaza kabila LA nini ? Uliza je anasifa au ?
  14. kapandila

    JamiiForums Tanzania Hati ya kusafiria sasa ndani ya siku tano inapatikana- Uhamiaji!

    Source ya habari yako
  15. kapandila

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Cha msingi ni kumuunga mkono na wala tusimbeze alichokifanya ni hatua moja mbele
Back
Top Bottom