Recent content by kaole

  1. kaole

    JamiiForums Tanzania Tamasha la injili la X-mas, kiingilio 50,000/= Diamond Jubilee

    Ndg yangu umekimbizwa kutoka msalani au kimekusibu nini hasa hata ukaja na uharo huu? Hivi Watanzania tutaacha lini kuwa mazuzu? Ngoja nikusaidie: Kwanza Clouds Media haijaandaa tamasha la Xmass kama ulivyojaribu kupotosha. Pili, ni vema ukajua kuwa tamasha hilo limeandaaliwa na Alex Msama...
  2. kaole

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wanaandamana kushinikiza rais Zuma ajiuzulu

    Nawe ni great thinker
  3. kaole

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Unaweweseka
  4. kaole

    JamiiForums Tanzania Vijana Wa LuMumba Bhanna

    Pumbavu kwanini hukuanza na jambazi Lowassa
  5. kaole

    JamiiForums Tanzania Prof. P. L. O. Lumumba: Rais Magufuli ameonyesha U-Nyerere na U-Nkrumah

    Huyu Magufuli ni zaidi ya Nyerere. Watanzania tutamlinda kwa gharama yoyote
  6. kaole

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kibamba, John Mnyika aikataa ofisi ya Mbunge

    Kale kaugonjwa huenda kalimpanda tena
  7. kaole

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Hovyo! Au ni wewe ni miongoni mwa wanufaika wa wq Bandari na TRL?
  8. kaole

    JamiiForums Tanzania Magufuli ataiweza vita dhidi ya Karimjee Jivanjee Family?

    Wakifanya lolote dhidi ya Magufuli basi sisi Watanzania pia tutakula nao sahani moja
  9. kaole

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Aliekutuma mwambie amechelewa sana. Na bado mtalia sana
  10. kaole

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hongera kwa kutupa kule Ilani ya CCM na Kutumia zilizo Bora

    Nadhani unaugua wewe si bure. Chadema walikuwa na ilani kwani? Uliiona wapi? Ukiondoa Ccm chama kinachofuata kwakuwa na ilani tena ilani ya iliyoandaliwa kisomi ni Act Wazalendo. Wahuni Chadema hawakuwa na ilani.
  11. kaole

    JamiiForums Tanzania Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

    Hilo ndio tatizo lqa kuwa na viongozi wasiokuwa na mipango
  12. kaole

    JamiiForums Tanzania Polisi watawanya waombolezaji kwa Baba mzazi wa Alphonce Mawazo, familia yalaani kitendo hicho

    Msigwa mlishampima akili?
  13. kaole

    JamiiForums Tanzania Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Wewe unampenda sana Kikwete kuliko anavyojipenda mwenyewe? Umbeya mwingine bwana!
Back
Top Bottom