Sasa mh. Nyalandu, maelezo yako mbona hayafuti aliyoyasema mh. Nasari?!!!!!
Are two different stories kabisa.
You have added other stories mh. Nyalandu
Hayo mahesabu yamekosewa kidogo coz deni linalipwa na kodi hasa kutoka ktk mishahara ya watumishi na wengine hasa wabunge mishahara Yao na pensioni zao ni mikubwa isiyokatwa kodi.
Kwa hiyo kuna watu wenye uwezo wa kulipa Au kuchangia Lakini wamesamehewa na ndo maana sirikali ya magamba yaani...
Viongozi wengi wa taasisi za kiislam Tz ni mbumbu sana , hata ktk nyazifa zao wanaingia kwa rushwa, hawana mawazo makuu ya maendeleo !!!
Hebu cheki viongozi wa bakwata ngazi za wilaya yaani ni shida tu.
Waislam walio wengi hawawezi kuendelea sababu wamezidi kulalamika tu badala ya kufanya kazi...
Tusi ni subjective pia. Kwa hiyo mtu kwa mtazamo wake akiona ni tusi basi hilo ni tusi kwake na ataanini hivyo, kwa hiyo usimlazimishe kumtukana utakuwa unamvunjia heshima
Are narrow minded??
Nambie ni rais yupi wa zanZibar ambaye hajasomea ushekhe.
Ali Hassan mwinyi ni shekhe by profession na masomo yake aliyapata university of Cairo
Wewe hujui kitu nyamaza!!!!
Siasa za Zimbabwe na umoja wa mataifa vinakupiga chenga, nenda library kwanza ndo uje uchangie juu ya siasa za Zimbabwe !!!!
[QUOT E=tamimusalim;12472991]Kiongozi mkuu wa boko haram abuu shekau ametoa mkanda wa video wenye matamshi makali ya kumuonya jacob zuma kuwataka wananchi wake kusimamisha au kuacha kuwashambulia raia wa kigeni waliopo katika nchi hiyo , vinginevyo atazishambulia balozi za south africa katika...
Uchawi ni sayansi Kama ilivyo sayansi nyingine sema tu wachawi wengi Kama wewe hawalitambui hilo ndo maana wanasayansi wengine wanawadharau na kuona vitu mnavyofanya ni vya kipuuzi.
Sugu a kichwa Kama wachawi wengine wa kule china na ujerumani wanavyofanya.
Wake up man don't be lazy...
Nina maana hii:
1.Ni watu wangapi walio Tumia njia hizo?
2. Ipi njia ni bora zaidi ya nyingine?
3. Ipi njia ambayo watu wengi wanaipenda?
4. Ni yepi madhara yatokanayo njia hizo?
5. Kwa kiwango gani madhara yana uwezekano wa kujitokeza?
6. Ni mgawanyo upi unaweza kuelezea matumizi ya hiZo njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.