Uchawi: Dawa za kujiepusha na ajali

Uchawi: Dawa za kujiepusha na ajali

Unaumwa au ? Kuna uhusiano gani kati ya komenti yako na uzi wangu?

Nina maana hii:
1.Ni watu wangapi walio Tumia njia hizo?
2. Ipi njia ni bora zaidi ya nyingine?
3. Ipi njia ambayo watu wengi wanaipenda?
4. Ni yepi madhara yatokanayo njia hizo?
5. Kwa kiwango gani madhara yana uwezekano wa kujitokeza?
6. Ni mgawanyo upi unaweza kuelezea matumizi ya hiZo njia kwa kuzingatia kanda, mikoa, wilaya, Kabila n. k??
 
We ni Polisi?
 
Teh Teh...Mwl Evelyn Salt njoo ummsome mwanafunzi wako.
 
Last edited by a moderator:
haiwi isipokua kwa ahadi
tuacheni shirk jamani
kun fayakun
 
Nimekuja kuzungumzia suala linalo ikabili jamii ,so nimetumia knowledge yangu ya masuala haya kuwaelimisha watanzania wenzangu

Sasa ww kama kuwaelimisha unaelimisha kwa kusema dawa ni fulan, sasa hayo matunguli,chale,majin, wayatoe wapi au unataka mpaka wajekwako?
 
Vp una dawa ya kumwezesha mtu kuingia peponi bila jah kumwona hata kama alikuwa muovu?
 
Sasa ww kama kuwaelimisha unaelimisha kwa kusema dawa ni fulan, sasa hayo matunguli,chale,majin, wayatoe wapi au unataka mpaka wajekwako?

Teh Teh sipati picha abiria wote kila mtu ana tunguli lake! Hakika Jf yatosha..
 
Vp una dawa ya kumwezesha mtu kuingia peponi bila jah kumwona hata kama alikuwa muovu?

Nenda kwenye chumba anacho lala mama yako mzazi. Chukua nguo yake ya ndani,uniletee nikutengenezee hiyo dawa. Au kama utashindwa,mvizie mama yako akiwa anajisaidia haja ndogo sehemu ambayo ni nje ya choo. nenda hadi pale alipokojolea, chota huo mchanga,uweke kwenye kitambaa cheupe, uniletee nikutengenezee hiyo dawa. Hakikisha unauleta mchanga ukiwa mbichi. Mbona simple sana kaka
 
Kwani wanahitaji nini? Pesa?

DEMONS dont need money cause they are paid in terms of blood. But sio kama watu wanavyo danganyana. Si kweli kwamba, majini hunywa damu za watu. Unajua kwanini ukienda kwa mganga kutafuta dawa ya utajiri unaambiwa utoe damu ya mtu unaye mpenda?
 
Sasa ww kama kuwaelimisha unaelimisha kwa kusema dawa ni fulan, sasa hayo matunguli,chale,majin, wayatoe wapi au unataka mpaka wajekwako?

Dawa zingine haziruhusiwi kutajwa hadharani.Ndo maana nimeweka njia ya mwisho ambayo ni rahisi. Soma vizuri uzi wangu utaelewa nilicho kiandika
 
ha ha ha likud hebu change avatar bana atleast uweke picha ya tunguli...
 
Back
Top Bottom