Hii kampuni kampuni ya kutapeli sana Angalau hata LEON BET Jana nime win mkeka mpk muda huu hela ajaijasoma kwenye AKAUNT blabka kibao , simu hawapokei ,love chart napo hovyo , kule inster hakuna mtu anayelike Wala kuccoment tuwe makini sana
Tatizo , hilo linikuta hata mm katika suzuki swift yangu but katika uchunguzi ikabaini center mountain ilikuwa imekatika , lakini engine ilikuwa ....upande badili mountain zote,...!! weka cvt mpya inakaa sawa acha kujipa gharama kubwa
Kuna benz moja ipo pale ngorongoro creater haijawahi kufeli sijui xha sensor inazaidi ya miaka 9 inapiga nzigo inapanda mlima kutokea creater chini kma haijabena watu......gari za mzungu upande wa powe usipime
Piga bet nao nimeanza kuwa na wac wac nao Sana wanatabia km hizi, ulizozitaja wanaendesha kimagumash Sana ,ninamkeka umewin yangu mchana 20M lkn team moja mpk muda huuhawasahishamkekauko pending
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.