Screenshot mkeka wako aisee, utakuja kushukuru

Screenshot mkeka wako aisee, utakuja kushukuru

We ni msenge kweli,unaambiwa taja jina la kampuni unaruka kujibu inajibu mengine
Kuna jamaa alikula milioni 78 wakampa nusu nyingine wakambia watamlipa pole pole. Pia wakamuajiri. Nilishangaa sana. Mim ningewaambia kwa hela niliyokula sihitaji ajira nipeni hela yote mbele kwa mbele
 
Wao ndio wanacontrol hizo zote kwa dashboard yao. Hao forensic wakipewa 5 milions una uhakika hawatageuka foreigns?
Umenena Kweli Kabisa Halafu ni Karibu Kampuni zoteAfrika zinaiba.
 
Betway kama mpo humu mnaujanja janja wa kijinga....kuna siku nilishangaa tu nina mkeka wa elf 70 ambao ata siukumbuki nilibet saa ngp

Mkishaona pesa tu.....cash out inasuasua,mara team zipigwe rock bila sababu.

Afu nahisi kuna mechi hewa huwa zinachezeshwa
 
Piga bet nao nimeanza kuwa na wac wac nao Sana wanatabia km hizi, ulizozitaja wanaendesha kimagumash Sana ,ninamkeka umewin yangu mchana 20M lkn team moja mpk muda huuhawasahishamkekauko pending
 
Piga bet nao nimeanza kuwa na wac wac nao Sana wanatabia km hizi, ulizozitaja wanaendesha kimagumash Sana ,ninamkeka umewin yangu mchana 20M lkn team moja mpk muda huuhawasahishamkekauko pending
Duhh Hongera tuone screenshot Mkuu
 
Back
Top Bottom