dunani kote watu huishi kwa kufuata misingi aidha ya kimira, kidini au kisheria , nchni tanzania Hakuna Mira wala sheria au dini inayoruhusu ushoga au mapenzi ya jinsia moja. sasa wewe unaejiita mtaalamu, msomi dadafua huo huhalali wa huo ushoga unaoupenda wewe umeutoa wapi
kaka pamoja na kupata bahati ya kupata uzoefu mkubwa duniani lakini bado umesahau demokrasia ni gharama na uchgauguzi huo hufanyika kwa mujibu wa sheria na sio vinginevyo. Naomba nikukumbushe siasa za tanzania huwezi fananisha na baadhi ya nchi za asia na Ulaya, wao hawaimbi kutokomeza maleria...
k
Wakati mwingine tuwe tunaelimishana wapendwa, kazi za vyombo vyombo vya habari , ni kuchunguza kuelimisha,kuburudisha na kuiambia jamii nini kinafanyika ndani ya jamiii. Hongera sana waandishi wetu
hongera Mbowe, mm nawashangaa sana wanaokusema nadhani hawajui kuwa CHADEMA ni chama cha Baba Mkwe wako na ni Saccos yako, baba endelea kuzitafuna ila angalia maana ndani ya chama chako wamechoka na huo ulafi wako, jiangalie baba zama hizi sio zileeeeee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.