Mvutano wa jinsi ya kupiga kura, na mawazo mazuri ya kutaka kura ziwe za siri ili kutunza mahusiano na baada ya hapo, tumeona kura ya wazi inavyoanza kuleta madhara mwanasheria wa Zanzibar out, je angelipiga kura ya siri yangetokea hayo jamani? ikumbukwe japo kulikuwa na hiari ya kupiga kura ya...
Mkuu nashukuru sana kwa kunielewa na nimemtaja muhusika mkuu ili kuleta msukumu mkuu kwake kwamba yeye kama mmiliki anapaswa kuhakikisha kila kitu katia kampuni yake kinaenda sawa. Kwahiyo kwasababu yeye anadhamana hiyo ni lazima tumlaumu yeye.
Na kwasababu anafanya kazi kubwa iliyotukuka...
Jamani watanzania kama tujuavyo Mwenyekiti Mengi amekuwa msaada na nguzo kubwa sana katika jamii yetu ya Tanzania na amekuwa mstali wa mbele kuwapigania wanyonge katika kupata stahili zao. Pamoja na hilo bado ninakitu ambacho kinanipa maswali nayo ni hivi;-
Ikiwa kiongozi huyu anawakusanya...
Uchungu nilionao juu ya nchi hii na masikitiko ya moyo ninayoyapata ninapoona watanzania wenzangu kama wewe ndugu yangu moyo wako unataabika, ni dhahili kwamba hakuna hata mtanzania mmoja anafurahia serikali iliyoko madarakani na udhalimu wao wanaotufanyia.
Niulize swali hivi machungu yote...
Mpoto ni kati ya watu muhimu sana nchini hasa kwa nasaha zake za msingi sana kwa mjomba wake ambao tunamjua, lakini baya zaidi nyimbo zake za kujenga na kuonya uozo wa jamaa zetu hazipewagi nafasi za kutosha sana katia radio na tv zetu ile zile nyimbo za kijinga ndo sana tu tena zinazofundisha...
Eti waTanzania wenzangu hivi mnaonaje hao mawaziri walolekwa kwa mfano mh Adam Kigoma Malima na wengine wale mnaowajua hivi wanatija kweli, au ndo tutafanyaje tena maana wote wameoza sasa inabidi ucheki kilichona ufadhali.
Hivi vigezo vya kuchagua ni vipi au ndo yale anayoyaimba Mrisho Mpoto...
Mchango wako unatia moyo sasa tukazane kutoa msukumu kwa wanaoongoza kuhakikisha mambo yanakwenda kwa kasi zaidi ya hapa ninasema kwa wanaoongoza nikiwa na maana kwamba tunaoongozwa tunahitaji sana mabadiliko lakini wawakilishi wetu wanaokaa kupanga mipango na kuweka vipaombele ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.