Ndani ya mwezi mmoja alikuwa kwenye ugaidi, akaenda tindikali, mabomu, gesi mtwara. Anaruka ruka anachosema hakieleweki wala kufanikiwa. Labda ndio ari mpya, kasi mpya na nguvu zaidi wakati hujui unakotaka kwenda ingawa unashangiliwa
Ni dhahiri kuwa mwisho wenu CCM sasa umefika. ..... kama aina hizi ndio wamekaa viti mbele, ..........basi mtapiga watu wote, mtatumia silaha zote, mtakamata viongozi na kusingizia vyama vyote........ lakini hamtapona. POLENI
Pole Simiyu, HIVI huoni? Hayo ndio haswa yaliyotokea bungeni, waheshimiwa wako walitunga mengi, wakaota ndoto, wakajichekesha na kupongezana kwa viwiko.
Mbinu mlizotumia kuiua NCCR, CUF zinazidi kukwama ndio maana tunaona jazba za wazee wazima eti 'wapigwe!!!.
Maana yake busara...
Hata kwenye nchi ambazo ukikamatwa unahesabiwa kuwa ni mkosaji mpaka itapothibishwa vinginevyo, hakuna sheria wala taratibu zinazoruhusu polisi kuwapiga watu hovyo. Kati ya walioumizwa ni watoto waliokuwa wanajipitia wakitoka madrasa. Sijui ni kipi cha kufurahia au kusifu? Au kwa vile alieuwawa...
Tumekuona, Tumekusikia. Ndevu unazofuga na kofia vinafanana kabisa na vya Jonas Savimbi ambae sifa yake kuu ilikuwa kupenda mauaji ya wenye mtazamo tofauti wa kisiasa. Na kwa miaka karibu thelathini alikuwa anavurugu juhudi zozote za kuleta amani Angola. Lakini umeishafuatilia aliishia wapi ...
Bwana Mdogo Nape, hata kama umeajiriwa kwa ajili ya kusemasema, jifunze kuchagua na kupanga cha kusema. bado una safari ndefu sana maishani na kisiasa, unaanza kuwa kichefuchefu mapema mno.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.