Kwa nini asiite mwandishi mmoja wa either BBC, ALJAZEERA etc akamweleza hiyo siri???? Au laa atume Bongo huku tumpelekee mwandishi ayamwage hewani yaliyo moyoni mwake ili hata kama akifa ukweli ubakie.... Asitishie watu bana.... kutoa siri si lazima mpaka ukiwa hapa nyumbani ...
So why are you shouting and trembling when you hear about CDM? Just wait and see how you will be able to govern for the next 100 yrs. Shame upon your face! Get rid of your magamba before speaking to Great thinkers!
Kimsingi nakubaliana nawe kabisa...... Wasiwasi wangu ni juu ya uwajibishwaji wa hawa waliohusika kwa maana ni wengi na pengine hata mwajibishaji mwenyewe atakuwepo. Sasa kwa utawala huu wa sheria unaobagua nani awajibishwe na nani asiwajibishwe unatutia mashaka.
Hebu angalia watu waliowahi...
Kama ndivyo mkuu, basi nadhani sote tukiri kuwa wataalam kama hawa hatunao kwenye Serikali ya sasa na hata zilizotangulia manake maendeleo hatuna na wala hakuna jitihada za kuharakisha kuleta hayo maendeleo! Serikali nzima na Bunge wanalilia posho tuuu kila kukicha na kusahau kuwa wapo wananchi...
Acheni utani basi kwenye ishu serious! Ni vyema mwananchi kujua mkuu wa nchi anapata kiasi gani toka kwenye jasho la watu wake na yeye anachangia kiasi gani kwenye jasho hili. Pia ningeshauri mishahara ya watumishi wote wa umma iangaliwe kujua kama kweli inakidhi mahitaji yao ili kupunguza...
Napatwa na wasiwasi kama unaelewa unachokiongea! Au pengine ni elimu yako ndogo kuliko huyo uliyeletewa umfundishe.... Inawezekana hata wewe hujui unachokifanya ofisini kwako ndo maana ukataka kujulishwa cha kumfundisha huyo mwanafunzi. Au pia yawezekana huelewi maana ya Field practical.... Kwa...
hata kama taasisi ni ya kwake! Lakini si ina wanachama hivyo walau anatumia anachopata na wenzake! Jiulize wabunge wengine wanatumia na nani wanachopata???
Unaonaje mkuu? Tukiungana kama Egypt hatuwezi kumpata kiongozi atakayeweza kupigania maslahi yetu kama watanzania na kuondokana na huu ubinafsi uliopo? Na pia tukiwaelimisha askari wetu kuwa tunapodai maslahi ya nchi ni pamoja na wao si watatuelewa waache kupiga watu watakapoandamana???? Mimi...
BANGE! Hawa ndo wametumwa na magamba baada ya kulalamika kuwa jf ni ya CDM. Na huwezi kuamini huyu ni kiongozi wa ngazi ya juu kabisa ktk chama! Uelewa wake wa mambo na lugha yake ndo hiyo! Poooooooooor Magamba
Nadhani wewe ni Omari! Hivi ndg. yangu unajua wajibu wa serikali na mihimili yake kweli???. Hebu nenda basi darasani au tuishenii ukishajua hilo ujifunze pia na wajibu wa vyama vya upinzani ndo uje kuandika huu utumbo wako hapa jamvini. Au ni hayo magamba yanakulemea ??? Bosi wako si amekuamuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.