Recent content by Kante98

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo kwenye ndoa, mume wangu hataki watoto hivyo nikipata mimba natoa kulinda ndoa yangu

    Bebaa mimba Mdadaa uzae utakuja kuzikumbuka baadae hizo.. kipindi unahitaji kwa nguvu. Ni ushauri tu.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: X-Girlfriend ananiomba nifunge naye ndoa

    Sifa ya mwanaume ni kuwa na msimamo tu..usimtese binti wa watu ukajitafutia laana bure.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani,Ni kwa hii Allegy nifanyaje!!

    Ahsante mkuu..nitazitafuta nione zinan saidia je? Najitahidi kuepuka ila mazingira nayo ni changamoto angalau kidogo mvua zinavyonyesha.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani,Ni kwa hii Allegy nifanyaje!!

    Habari wana Jf!! Nina Allergy na mavumbi je hii hali naweza nikapata dawa ikaisha kabisa.Huwa napiga chafya mnoo mpaka nahisi joto..huwa natumia piritoni lakini hazini saidii kutuliza hali. Ahsante.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani,Ni kwa hii Allegy nifanyaje!!

    Habari wana Jf!! Nina Allergy na mavumbi je hii hali naweza nikapata dawa ikaisha kabisa.Huwa napiga chafya mnoo mpaka nahisi joto..huwa natumia piritoni lakini hazini saidii kutuliza hali. Ahsante.
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafakuri yakinifu: Ngono si kipaumbele kwa mwanamke..

    Ukisimamia show vizuri mbona utatafutwa kila siku mzee.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu

    Habari Wakuu!! Nacte imeeshaanza kutoa transcript kwa wahitimu wa mwaka 2018 ambao walimaliza mwaka jana mwezi wa kumi 2018. Ahsanteni.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana wenye tabia zifuatazo huwa wanazalishwaga na kuachwa

    Mimba ya bahati mbaya ni ya kubakwa tu hizo zingine mwanamke anatega mwisho wa siku apate kitonga akitegemea kupata huduma kirahisi kisa mtoto.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ndio chanzo cha majuto kwa wanaume wengi lakini bado wanaume hatusikii tu.

    Wanawake wanatuzaa mioyo yao mepesi kubadilika badilika alafu wapo karibu sana na dhambi. Mungu awatangulie kwa kweli.
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kibomba cha maji ndiye adui mpya wa mahusiano yetu

    Kwa ubunifu huo punyeto kweli mko vizuri.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    kama sikio lingine linasikia vizuri ni bora kuachana na machine. Mi nilishauriwa mapema nkaacha kufuatilia kabisaa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Hata mimi nina hilo tatizo sikio langu la kushoto halisiki kabisa. Nilienda Regency nikafanyiwa kipimo cha CT Scan nikabainika sina tatizo kabisa ila walinishauri nitumie Ear machine ya kuweka sikion ili inisaidie kusikia.Nilishindwa bei yake kutokana na gharama ambapo Semi digital ni Laki 650...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nani anaijua dawa ya usingizi zaidi ya valium?

    nisaidie mkuu,bi mkubwa wang halali vizuri ana tatizo la presha hivyo kumpelekea kukosa usingizi hapo awali alikuwa anatumia valium na zilikuwa zinamsaidia.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nani anaijua dawa ya usingizi zaidi ya valium?

    Habari.! Anayejua dawa ya kupata usingizi tofaut na valium ambazo kwa sasa hazipo tena madukani naomba anisaidie. Shukrani.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Athari za kutokunywa maji ya kutosha mwilini

    Tumia hata matikiti maji mkuu.
Back
Top Bottom