Habari Wakuu!! Nacte imeeshaanza kutoa transcript kwa wahitimu wa mwaka 2018 ambao walimaliza mwaka jana mwezi wa kumi 2018. Ahsanteni.