Watanzania bhana sisi ni watu wa ajabu sana inamana mtu hawezi kuletewa maendeleo akiwa upinzani ndo matokeo yake mtu anakuja na hoja dhaifu eti kwa kuwa alikuwa upinzani ndo mana hakuweza kuwatumikia kwa ufanisi wananchi huo ni ujinga mkubwa tena kwa mtu mwenye hakiri timamu kama mimi huwezi...
Mtoa uzi nimekusoma ila shida unazunguka na kuwalaumu waliotumbuliwa lakini kwa nn huwapongezi kwa kuzarisha japokuwa walitumia njia zisizo sahihi, mi naona haina haja ya fain mkuu hcho walichovuna na walichozarisha kinatosha wao wasidai fidia na wala serikari isiwafungulie mashitaka
Wote ni wazuri tu jamani ila kila mtu huwa hakosi mapungufu ndo man's wengi tumekuwa wepesi wa kuwakosoa maraisi wetu lakini hatujawa wepesi kujadili hoja ambazo tunaona kimsingi ndo tunataka rais anapochaguliwa ajue anaenda kusimamia vitu gani ambavyo ni common katika taifa tuliweza hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.