Ndugu zangu watanzania,
Kila jambo lenye mkono wa Mungu linaonekana mapema tangu asubuhi...!
Hakika Mungu yupo nyuma ya MABADILIKO TANZANIA, maana amewasikizisha Wachungaji, Maaskofu, Mapadre, Mitume na Manabii wa Kanisa la Tanzania, kuiheshimu siku ya UKOMBOZI WA TAIFA LAO kwa KUFUNGA MILANGO...